KurogwaZanzibar wastaarabu na sana roho nzuri sana ukilinganisha na bara ila ni wavivu na vilaza
Wanaogopa kupigwa kisomoUna kauzembe flan hivi basi
KurogwaTanga niliacha wallet ilikuwa na laki na themanini asubuhi saa tano nikaikuta jioni saa 12 pale pale nilipoacha
Zanzibar ipi hiyo nikafanye research?! Nipo hapa mwaka wa 20Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana.
Tukiangalia level ya civilization wazanzibar wametutangulia we have to learn from them .
Huogopi wewe kurushiwa Jini?inaelekea hujajua kutofautisha civilization na uchawi
Mchamba Wima Kiembe Samaki Kisiwa NduiZanzibar ipi hiyo nikafanye research?! Nipo hapa mwaka wa 20
PoaMchamba Wima Kiembe Samaki Kisiwa Ndui
Ukiiba ukichukua cha mtu unarushiwa Jini tu
Sio issue ya uchawi Mkuu , hawa wazanzibar , wakarimu na sio kuiba na kuibiwa , wametuzidi mambo mengi Sana.Ukiiba ukichukua cha mtu unarushiwa Jini tu
Tanga kila barabara hukosi kupishana na Chizi Tanga na Zeenji sio mbali sanaSio issue ya uchawi Mkuu , hawa wazanzibar , wakarimu na sio kuiba na kuibiwa , wametuzidi mambo mengi Sana.
We umewahi kuishi Zanzibar?Tanga kila barabara hukosi kupishana na Chizi Tanga na Zeenji sio mbali sana
ChakeChakeWe umewahi kuishi Zanzibar?
Ni kweli kabisa. Hata daladala ni level hakuna mtu kusimama!Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana.
Tukiangalia level ya civilization wazanzibar wametutangulia we have to learn from them .
Umeonaje civilization level between Zanzibar Ana Tanganyika?ChakeChake
GoodUmeonaje civilization level between Zanzibar Ana Tanganyika?
Sure wametuzidi Sana civilization ,Ni kweli kabisa. Hata daladala ni level hakuna mtu kusimama!
Okay .Good
Wale jamaa sio wizi Ila wametuzi mambo mengi Sana yanayohusisha kujitambua kuanzia lifestyle , humbleness and being grounded.inaelekea hujajua kutofautisha civilization na uchawi