Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

hao jamaa sijui wana moyo gani..kuna jamaa yangu alinibless piss niiitafune kiroho safi kabisa kisa yeye alikua na pisi nyingine
 
Zanzibar ipi hiyo nikafanye research?! Nipo hapa mwaka wa 20
 
Sio issue ya uchawi Mkuu , hawa wazanzibar , wakarimu na sio kuiba na kuibiwa , wametuzidi mambo mengi Sana.
Tanga kila barabara hukosi kupishana na Chizi Tanga na Zeenji sio mbali sana
 
Ni kweli kabisa. Hata daladala ni level hakuna mtu kusimama!
 
inaelekea hujajua kutofautisha civilization na uchawi
Wale jamaa sio wizi Ila wametuzi mambo mengi Sana yanayohusisha kujitambua kuanzia lifestyle , humbleness and being grounded.

Hata Serikali yao inawapa favor Fulani na kuhakisha wanastawi in one way or another.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…