Apo swala ni Imani wazanzibar ni watu wa Imani sana Dini ya kislamu imewaingia pamoja na mafundisho ya mitume...juu ya kutenda mema.Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana.
Tukiangalia level ya civilization wazanzibar wametutangulia we have to learn from them .
TrueApo swala ni Imani wazanzibar ni watu wa Imani sana Dini ya kislamu imewaingia pamoja na mafundisho ya mitume...juu ya kutenda mema.
Kwamwelu hata Mimi ilo nalisadiki...ukiona wizi wa kijinga hujue uyo katoka Bara...
uchawi maarufu ulonzi nao ni ustaarabuZanzibar wastaarabu na sana roho nzuri sana ukilinganisha na bara ila ni wavivu na vilaza
ndugu ongea kwa utuo omba yasikukute. Narudia tena usiombe yakukute. na hapa nitacap kwa msisisitizo. USIMWAMINI MTU KWA MAVAZI AU IMANI YAKE AU JINSI YOYOTE ILE WEWE UNAVYOMWONA. Nikuambie tu kwa uchache kuna jamaa mmoja anaheshimika sana tena ni kiongozi mkubwa tu. ni wa ukouko lakini ni wa ovyo ni tapeli mkubwa.Apo swala ni Imani wazanzibar ni watu wa Imani sana Dini ya kislamu imewaingia pamoja na mafundisho ya mitume...juu ya kutenda mema.
Kwamwelu hata Mimi ilo nalisadiki...ukiona wizi wa kijinga hujue uyo katoka Bara...
Inaonesha una ka uzembe aliko pitilizaWakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana.
Tukiangalia level ya civilization wazanzibar wametutangulia we have to learn from them .i
Maneno mawili ya mwisho,umewakosea nidhamu, ngoja waje.Zanzibar wastaarabu na sana roho nzuri sana ukilinganisha na bara ila ni wavivu na vilaza