Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

Camp Gilgal

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,453
Reaction score
4,592
Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.

Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.

Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha kwa pump ili uhifadhi kwenye tank.

Na kwa siku hizi 3 yamekatika kabisa tena bila kutolewa taarifa;

Ninakumbuka katika awamu iliyopita (miezi 7 iliyopita na kurudi nyuma) maji hayakuwa yanakatika hovyo na kama kulitokea itilafu tulijulishwa kwa ujumbe mapema ili tujiandae. Je, watendaji wameanza kurudi kwenye utendaji wa mazoea?

Sote tunajua umuhimu mkubwa wa maji katika shughuli za binadamu; Pia, tuna watoto wadogo tutaishi vipi bila maji?

Dawasa shughulikieni hili, Wananchi tunataka huduma bora na endelevu.

Tunataka Maji Yarudi, Tena kwa Presha inayotakiwa.

"MAJI NI UHAI"
 
Huenda ni kweli waziri wa maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.

Nunua Tanki la kuhifadhia maji kuanzia Lita 5000 kama una familia.Pia chimba kisima hata cha mkono kama inawezekana Wananchi jitahidi kusoma alama za nyakati, uongozi ni ajira kama zilivyo ajira nyingine.Pambaneni na hali zenu
 
Mkuu kuna wengine tumepanga asee mimi mwenye nyumba ametujengea tank la 2000L kwa kila mpangaji ila hayatoshi na mtoto mdogo matumizi ya maji yanakua makubwa, maji hayajatoka week2 ndo yametoka jana na sio kawaida mpaka tunashangaa, kipindi cha nyuma maji yalikua 24hrs yakikatika sana siku2 yamerud sahv hali ni tete kila kona
 
Jitahidi uhamie kwako, malizia kile kibanda chako hata vyumba viwili.Sio lazima iishe kabisa, utamaliza ukiwa ndani
 
Huenda ni kweli waziri wa maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.

Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.

Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha kwa pump ili uhifadhi kwenye tank.

Na kwa siku hizi 3 yamekatika kabisa tena bila kutolewa taarifa;

Ninakumbuka katika awamu iliyopita (miezi 7 iliyopita na kurudi nyuma) maji hayakuwa yanakatika hovyo na kama kulitokea itilafu tulijulishwa kwa ujumbe mapema ili tujiandae. Je, watendaji wameanza kurudi kwenye utendaji wa mazoea?

Sote tunajua umuhimu mkubwa wa maji katika shughuli za binadamu; Pia, tuna watoto wadogo tutaishi vipi bila maji?

Dawasa shughulikieni hili, Wananchi tunataka huduma bora na endelevu.

Tunataka Maji Yarudi, Tena kwa Presha inayotakiwa.

"MAJI NI UHAI"
Huko nyuma ya pazia kuna mambo yamejificha balaa
 
Mkuu kuna wengine tumepanga asee mimi mwenye nyumba ametujengea tank la 2000L kwa kila mpangaji ila hayatoshi na mtoto mdogo matumizi ya maji yanakua makubwa, maji hayajatoka week2 ndo yametoka jana na sio kawaida mpaka tunashangaa, kipindi cha nyuma maji yalikua 24hrs yakikatika sana siku2 yamerud sahv hali ni tete kila kona
Maanake 10% na maza anapata mgao wake vizuri, Kalemani alikuwa anatafuna peke ake
 
Mwenzangu na Zenji
Unatatizo la nguvu za kiume mkuu, Kasi ya mkojo unapotoka kwenye dushe unaweza kufika hadi umbali wa sentimita 200 juu kwa juu kabla haujadondoka chini kama anaekojoa ni mwanaume asie na matatizo ya afya, na kwamwanamke anaweza kuchimba shimo lenye urefu hadi wa sm 15 akikojoa kwa kuchuchumaa, kipindi nilipokuwa mdogo tulikuwa tunasema dada anachimba kisima, basi akimaliza tu kukojoa tunakimbilia kuona jinsi ardhi ilivyotinduliwa!!Kasi ya mkojo si yakubeza hata kidogo bali ni yakutolea mfano.
 
Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.

Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.

Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha kwa pump ili uhifadhi kwenye tank.

Na kwa siku hizi 3 yamekatika kabisa tena bila kutolewa taarifa;

Ninakumbuka katika awamu iliyopita (miezi 7 iliyopita na kurudi nyuma) maji hayakuwa yanakatika hovyo na kama kulitokea itilafu tulijulishwa kwa ujumbe mapema ili tujiandae. Je, watendaji wameanza kurudi kwenye utendaji wa mazoea?

Sote tunajua umuhimu mkubwa wa maji katika shughuli za binadamu; Pia, tuna watoto wadogo tutaishi vipi bila maji?

Dawasa shughulikieni hili, Wananchi tunataka huduma bora na endelevu.

Tunataka Maji Yarudi, Tena kwa Presha inayotakiwa.

"MAJI NI UHAI"
Kumbe siku 3 watu hawana maji miaka na wanamsifia 😃😃😃😀..
 
Kwani Jijini Mwanza matatizo ya maji yameisha? Maana Mwanza ni kama vile hakuna ziwa na wananchi wametelekezwa
 
Kuna watu wanajaribu kulazimisha ionekane kwamba wakati wa Magufuli kila kitu kilikuwa kinaenda sawa,hiyo sio kweli.
 
Wakati mwingine huwa ni mapungufu ya watendaji wachache wa ngazi za chini.

Muhimu kuwareport ili washughulikiwe.
 
Eti kati ya mawaziri wake wote eti huyu ndio kinara katika utendaji morogoro tu hapo mwezi mzima maji hayatoki kwenye mabomba achilia morogoro kuna mikoa ya kanda ya ziwa maji pia ni changamoto kuu ilihali kuna ziwa hapo karibuni.

Huyu aweso kuna namna na bi mkubwa, maana sio kwa sifa zote hizo kwake.
 
Moruwasa watumbuliwe wote.
 
Tunanunua mikaa kila leo,tunapishana na bodaboda za magunia ya mkaa kila kukisha,tunashuhudia miti inavyofyekwa fyekwa kwa shughuri zetu za maendeleo kila mahali.
Tuungane tupande miti tuombe mvua.hali ni ngumu kwetu kwenye upatikanaji wa maji.kipindi hiki ambacho mvua zipo karibu basi tutenge tarehe 25/10/2021 kila familia ipande mti mmoja tu,mvua zikija ushike na ukue.
 
Unatatizo la nguvu za kiume mkuu, Kasi ya mkojo unapotoka kwenye dushe unaweza kufika hadi umbali wa sentimita 200 juu kwa juu kabla haujadondoka chini kama anaekojoa ni mwanaume asie na matatizo ya afya, na kwamwanamke anaweza kuchimba shimo lenye urefu hadi wa sm 15 akikojoa kwa kuchuchumaa, kipindi nilipokuwa mdogo tulikuwa tunasema dada anachimba kisima, basi akimaliza tu kukojoa tunakimbilia kuona jinsi ardhi ilivyotinduliwa!!Kasi ya mkojo si yakubeza hata kidogo bali ni yakutolea mfano.
matusi sasa ya nini? sijatukana mtu hata kidogo. Umeniudhi sana. Let us put it that way, Muulize mama yako, we can make a simple test, ask your mother she will confirm my malehood!
 
Nilitaka nikuombe samahani, kisha nijaribu kukuekewesha kuwa kitu ulichokitolea mfano haukua sahihi, lakini naona umeshanihukumu, basi sawa. lakini bado naamini sijakutuka wala sijamtukana yeyote kwa andiko langu.
 
Back
Top Bottom