figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Anaamini bado halijawa lijideni??Anaita kijideni...🤣
Li nchi likubwa linastahili kukaa na deni?Ka nchi kadogo kale
Unaposema Namibia wamemaliza deni lao, unakuwa unadanganya. Namibia wamemaliza deni lao la IMF ila kiujumla bado wana deni la dola bilioni 10.Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Samia anajisifia kwamba Nchi inakopesheka. Ndo sifa kubwa anayoona si kupunguza deni
Kufikia Juni 30, 2025, deni la taifa la Tanzania lilifikia Shilingi trilioni 110.05. Ripoti ya CAG ya Machi 30, 2026, ilibainisha ongezeko la 13% (Trilioni 12.7) ndani ya mwaka mmoja, likichangiwa na mikopo ya nje (Tsh. trilioni 74.55) na ndani (Tsh. trilioni 35.5), huku ikitajwa kuwa bado ni himilivu.
My take;
Samia anataka aache ameiharibu sifa ya Tanzania kisha arudi kwao Oman
Kwamba?Ka nchi kadogo kale
Kwamba haujapenda Namibia kulipa walichodaiwa?Unaposema Namibia wamemaliza deni lao, unakuwa unadanganya. Namibia wamemaliza deni lao la IMF ila kiujumla bado wana deni la dola bilioni 10.
Population ya Namibia ni 3 million na population ya Tanzania ni 70 million. Kwa watu milioni 3 kudaiwa bilioni 10, siyo jambo la kusifiwa, hata watanzania kudaiwa dola bilioni 43 siyo jambo zuri. Lakini usipende kudandia treni kwa mbele, hizi nchi zote bado zina madeni makubwa japo bado stahamilivu.
Kama kuna muda TISS kujiongeza ndio sasa.....wajitafakari kuendeshwa na chama na vilaza wa mtandao.....ile dhana nchi kwanza iko wapi ? Sasa mtu kwanza......ataesemwa na mwenyekiti ....all think tankers wamepotezwa na mtandao ......sasa wajitoe kusimamia katiba mpya kwa maslahi nchi sio chama wala kikundi chavwatu......ili nchi iweze kuweka misinginimara huu ujingavwatu wezi wachache RA na JK ni hatari sana ......ikiwezekana JK aliwe kichwa kwa maslahi mapana ya nchi......Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Samia anajisifia kwamba Nchi inakopesheka. Ndo sifa kubwa anayoona si kupunguza deni
Kufikia Juni 30, 2025, deni la taifa la Tanzania lilifikia Shilingi trilioni 110.05. Ripoti ya CAG ya Machi 30, 2026, ilibainisha ongezeko la 13% (Trilioni 12.7) ndani ya mwaka mmoja, likichangiwa na mikopo ya nje (Tsh. trilioni 74.55) na ndani (Tsh. trilioni 35.5), huku ikitajwa kuwa bado ni himilivu.
My take;
Samia anataka aache ameiharibu sifa ya Tanzania kisha arudi kwao Oman
Ili iweje kwa mfano.Kwamba haujapenda Namibia kulipa walichodaiwa?
Hatari sana.Ili iweje kwa mfano.
Shida kubwa Taifa tuna malengo gani? Hilo nilakujiuliza sana kama mipango ya kuliendeleza Taifa linachukuliwa kwa uzito gani.Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Samia anajisifia kwamba Nchi inakopesheka. Ndo sifa kubwa anayoona si kupunguza deni
Kufikia Juni 30, 2025, deni la taifa la Tanzania lilifikia Shilingi trilioni 110.05. Ripoti ya CAG ya Machi 30, 2026, ilibainisha ongezeko la 13% (Trilioni 12.7) ndani ya mwaka mmoja, likichangiwa na mikopo ya nje (Tsh. trilioni 74.55) na ndani (Tsh. trilioni 35.5), huku ikitajwa kuwa bado ni himilivu.
My take;
Samia anataka aache ameiharibu sifa ya Tanzania kisha arudi kwao Oman
Dhahabu tuliyonayo pekee inatosha kabisa kulipa hilo deni,na bado dhahabu hiyo hiyo ikainua uchumi wa taifa na tusikope Tena. Ila tuna viongozi wasiojitambua. Wao kutwa kucha ni kuwaza kushinda uchaguzi.Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha uchumi wa taifa hilo.
Samia anajisifia kwamba Nchi inakopesheka. Ndo sifa kubwa anayoona si kupunguza deni
Kufikia Juni 30, 2025, deni la taifa la Tanzania lilifikia Shilingi trilioni 110.05. Ripoti ya CAG ya Machi 30, 2026, ilibainisha ongezeko la 13% (Trilioni 12.7) ndani ya mwaka mmoja, likichangiwa na mikopo ya nje (Tsh. trilioni 74.55) na ndani (Tsh. trilioni 35.5), huku ikitajwa kuwa bado ni himilivu.
My take;
Samia anataka aache ameiharibu sifa ya Tanzania kisha arudi kwao Oman
Tuna dhahabu yenye thamani ya dola ngapi?Dhahabu tuliyonayo pekee inatosha kabisa kulipa hilo deni,na bado dhahabu hiyo hiyo ikainua uchumi wa taifa na tusikope Tena. Ila tuna viongozi wasiojitambua. Wao kutwa kucha ni kuwaza kushinda uchaguzi.
Hao Tiss wote wako hapo kwa hisani za wasiotaka katiba mpya, wanachofuata ni watakacho hao viongozi. Unapoona Tiss wanatumika kuteka wakosoaji ujue hapo hakuna Tiss bali wapigania tumboKama kuna muda TISS kujiongeza ndio sasa.....wajitafakari kuendeshwa na chama na vilaza wa mtandao.....ile dhana nchi kwanza iko wapi ? Sasa mtu kwanza......ataesemwa na mwenyekiti ....all think tankers wamepotezwa na mtandao ......sasa wajitoe kusimamia katiba mpya kwa maslahi nchi sio chama wala kikundi chavwatu......ili nchi iweze kuweka misinginimara huu ujingavwatu wezi wachache RA na JK ni hatari sana ......ikiwezekana JK aliwe kichwa kwa maslahi mapana ya nchi......
Hesabu si hajui hahaahhhaaAnaita kijideni...🤣