Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

Hoja ni kwamba wamelipa deni lao lote la IMF , Tuonyeshe wewe wapi Tanzania wamelipa deni lao lote hata la benki kuu ya Africa tu hapo , 🤣🤣🤣

Tangu na zaliwa till today nasikia Nchi Ina daiwa tu na Kila kukicha deni kinazidi kuchanja mbuga , inapotokea ukasikia Kuna Nchi imelipa deni lao lote hata kama ni la IMF kwanini tusiwapongeze !?
 
Huko TISS kwenyewe ndio kumejaa vilaza kama kungekuwa hakuna vilaza wasingeruhusu Nchi kutawalia na hao unaowaita vilaza and wana mtandao ,

Kama wangekuwa sio vilaza wasingeruhusu mwenda zake awe assassinated
 
Ni nchi tatu tu duniani ambazo hazina madeni kabisa.

Namibia haimo.
 
Umeisoma heading?
Heading na maelezo yanakufanya uone kuwa deni la Nmibia lote limelipwa. Bila kusoma zaidi kwenye sources nyingine, utaishia hapo.
Hiyo si kweli, na hamna cha ajabu mbona deni lote la Equatorial Guinea ni 4.6B$ na population ndogo zaidi ya Namibia with the same GDP?
Tatizo ni deni la taifa au deni la taifa kwa IMF? Mbona Marekani ina deni kubwa sana? Lakini linalipika, kwa hiyo ndio utembee kwa miguu kisa huna milioni 30, lakini unaweza kulipa laki 6 kwa mwezi kwa ajili ya gari? Lipa laki 6 uongeze ufanisi.
Jamani ushabiki maandazi ukizidi, unapoteza sense .
 
Mbona unajihami? Nani kakuambia ni news?
Its all over media streams;

Kumbe ujinga ujinga tu;

Ni nchi tatu tu Duniani ambazo ni debt free ; yaani hazina madeni popote.

Namibia haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…