Wakati sisi tukisema zawadi ni ndogo kwa shujaa Majaliwa, baba aibuka na kusema zawadi ni ya familia

Tuwalee watoto wetu vema kwa upendo na kila kitu cha manufaa kuwapatia! Ugomvi wa wazazi watoto wasihusishwe maana ni ugomvi wa mapenzi kati ya wawili wanaojuana undani
 
Hakuna kitu kama hicho WAZAZI KUCHUKUA PESA ZA WATOTO NI LAANA KUBWA SANA KWA MWENYE ENZI MUNGU!
Mafanikio ya JASIRI MAJALIWA ni yakwake mwenyewe tu!
Hivyo ndivyo ilivyo kwa Mwenye Enzi Mungu walahi
Wazazi tuna takiwa sisi ndio tuwape pesa watoto wetu bali sio wazazi kuchukua pesa za mtoto!
Nyinyi wazazi wa JASIRI MAJALIWA mmesha pewa zenu na MAULANA kama mlichezea maisha basi mtajua wenyewe lakini msiguse hiyo pesa ya huyo kijana wenu maana mtalaaniwa vibaya sana na Mwenye Enzi Mungu walahi nawaambia na wala msiwape watoto wengine hilo fungu lake!
Wenzetu Ulaya na kote kwenye nchi zilizo endelea ndio wanavyo ishi na ndio maana wanabarikiwa!
WAZAZI KUWENI MAKINI NA PESA YA HUYO KIJANA!
Msipoangalia itawamaliza nyinyi wazazi![emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 

Mosi, hela aliyopewa ni hisani tu sio lazima.

Pili, hakuna hela inayoweza equate uhai wa binadamu uliopotea.

Tatu, hii ni hela ya Majaliwa mwenyewe na sio wazazi wake. Sio jukumu la serikali kuwalisha wazazi wa Majaliwa.

Nne, Majaliwa kapewa kazi jeshi la zima moto, unataka apewe nini zaidi?

Mitanganyika mkishiba mnaanza kulalamika tu.
 
Kama kawaida za watanzania story za vitabu vya enzi "cha wote na cha mgeni" zimeanza
 
Hivi mtu unawezaje kwenda kwenye redio na kuanza kuongelea mambo ya familia yako?
 
Ila clouds nao wangese wameenda kumtafuta uko ili tu wapate umaarufu. Yale yale ya kwenda kumtafuta baba Diamond Platnumz kila tukio likitoea wanamfuata wanamuuliza ili wauza habari. Hapo utasikia Global Publishers nao wanamfuata ex wa Majaliwa kumuhoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…