DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Sema mzee hajaomba hela katoa tu ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulipoteaga wapi. Ulikuwa huonekani kabisa kipindi flani hapa kati.Mh.Rais ameelekeza Kijana Majaliwa apewe Ajira sio Familia yake ipewe ajira
kama ya Ommy Dimpoz vileClouds wanakuwaga na kiherehere sana kutafuta wazazi wa watu
Tuwalee watoto wetu vema kwa upendo na kila kitu cha manufaa kuwapatia! Ugomvi wa wazazi watoto wasihusishwe maana ni ugomvi wa mapenzi kati ya wawili wanaojuana undani
Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa
"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia" - Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM
Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema
"Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana
"kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia" - Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM
Nilivyomsikiliza huyo Baba Majaliwa anaitaji msaada wa kiuchumi
Mpuuzi wa kupuuza huyu...baba angemuacha kijana aishie form two? Apite hivi...aache tamaa.Bora angekaa kimya tu anatia aibu,
Umwache mke na watoto wako ukaishi na mwingine halafu Leo unaongelea swala la familia kazi ipo!
Mama Majaliwa anasema kalea watoto peke yake we baba kaa kwa kutulia
Mama kasema kalea wanae peke yakeMidingi dizaini hii lazima ijitokeze dogo akitoboa kama lizee la Ommy na Dayamondi.
Nilivyosema Majaliwa ni mwanangu watu walibisha, kinachoingia katika familia ni cha familia - Baba Majaliwa
"Mimi na Mama Majaliwa tumetengana kwenye mambo ya ndoa lakini tupo pamoja sana hayupo mbali na mimi na mimi sipo mbali naye kwenye masuala ya familia tunashirikiana kupanga mambo ya familia" - Jackson Majaliwa ameimbia Clouds FM
Kuhusu zawadi alizopewa kijana wao huyo kwa kuvunja mlango kuokoa waliotumbukia na ndege ziwa Victoria, amesema
"Anachokipata tungeshirikiana mimi na familia kama ni kuiweka pesa yake aikute wakati anaendela kukua , tutaangalia kipi tumuhifadhie kwa sababu bado ana wadogo zake na sisi wazazi wake maisha yetu ni ya kawaida sana
"kikubwa tungemuwekea yeye kidogo tungeona namna ya kuwasaidia wadogo zake maana kinachoingia katika familia ni kwa ajili ya familia" - Baba mzazi wa Majaliwa akiongea na Clouds FM
Kama kawaida za watanzania story za vitabu vya enzi "cha wote na cha mgeni" zimeanza

Umaskini ni aibu sana, umaskini unavua watu nguoMzazi ashaingiza tamaa
Ova