Takwimu ni namba. We matulatulaKama unaamini ni za kweli basi mpira haufatilii ni oya oya tu. Yaani ni sawasawa na mtu akwambie 1 + 1 = 4 halafu wewe umuamini. Kigezo cha hapo kumuamini huyo ni kwamba nawewe ni hamnazo akilini mwako kama huyo aliyekufahamisha hivyo haujui kama 1 + 1 jibu lake ni mbili.
Swala la kusema mchezaji ana msimu wa kwanza Tanzania lakini anafukuzana na aliowakuta hapo huo sio mlinganisho bali ni takwimu. Mlinganisho ni pale unapoanza kuchuja kujua ni nani ni bora kuliko mwingine aidha kwa kutumia takwimu au kiufundi zaidi.
Bisha kwa takwimu NGURUWE WWHuwezi mfananisha Mayele na upuuzi
Unavuta bhangi, nenda kaangalie vzr kama mtoa assist alipiga acrobatic na urudi tenaGoli alilofunga Mayele Jana Kuna Mtoto wa Mbeya Kwanza Alipiga Zuri kuliko Lile, kuanzia Aliye toa assist alipiga acrobatic na mfungaji pia
Kitakwimu kibu Ana goli 3 mayele 4Bisha kwa takwimu NGURUWE WW
Mastraika wa kutegemewa kongo wanachezs ulaya hususani ufaransa. Lini ameitwa timu ya taifa ?Yaani umshindanishe mayele na kina kibu na shabalala?
Yuleni straika wa timu ya taifa ya drc taifa lililo na kiwango bora zaidi yetu
Sawa kama unataka namba hizo hapo Mayele ana 4 Kibu ana 3 na anayeongoza ana magoli matanoTakwimu ni namba. We matulatula
Mayele hajacheza drc national team??Fiston Mayele amekuwa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Congo DR lini katika Kumbukumbu zako wakati kama tu Djuma Shaaban mnayemsifu akiitwa huwa anaishia tu Kuchoma Mahindi benchini?
Kukaa benchi ( Kuchoma Mahindi ) ndiyo Kucheza Timu ya Taifa ya Congo DR?Mayele hajacheza drc national team??
Huu uzi ni WA kukuumbua tu. Bora hata usingeandika. Kwa washambuliaji NBCPL hakuna kama Mayele. Yupo complete. Kitu yule ni machachari ila sio hatari.Kukaa benchi ( Kuchoma Mahindi ) ndiyo Kucheza Timu ya Taifa ya Congo DR?
Wewe ni mfuatiliaji mzuri!Goli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
Unamaanisha ngushi mchezaji mpya wa yanga aliecheza mapinduzi jana?Goli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
Magoli ya hivyo yanafung was na wachezaji wa Yanga tuGoli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
ZimekwamaTakwimu mbona haziletwi?
Popoma tunaomba updatesFiston Mayele amekuwa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Congo DR lini katika Kumbukumbu zako wakati kama tu Djuma Shaaban mnayemsifu akiitwa huwa anaishia tu Kuchoma Mahindi benchini?