Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

Kama unaamini ni za kweli basi mpira haufatilii ni oya oya tu. Yaani ni sawasawa na mtu akwambie 1 + 1 = 4 halafu wewe umuamini. Kigezo cha hapo kumuamini huyo ni kwamba nawewe ni hamnazo akilini mwako kama huyo aliyekufahamisha hivyo haujui kama 1 + 1 jibu lake ni mbili.

Swala la kusema mchezaji ana msimu wa kwanza Tanzania lakini anafukuzana na aliowakuta hapo huo sio mlinganisho bali ni takwimu. Mlinganisho ni pale unapoanza kuchuja kujua ni nani ni bora kuliko mwingine aidha kwa kutumia takwimu au kiufundi zaidi.
Takwimu ni namba. We matulatula
 
Goli alilofunga Mayele Jana Kuna Mtoto wa Mbeya Kwanza Alipiga Zuri kuliko Lile, kuanzia Aliye toa assist alipiga acrobatic na mfungaji pia
Unavuta bhangi, nenda kaangalie vzr kama mtoa assist alipiga acrobatic na urudi tena

Unapotoshwa na wachambuzi ochwara nawe unajaa
 
Yaani umshindanishe mayele na kina kibu na shabalala?
Yuleni straika wa timu ya taifa ya drc taifa lililo na kiwango bora zaidi yetu
Mastraika wa kutegemewa kongo wanachezs ulaya hususani ufaransa. Lini ameitwa timu ya taifa ?
 
Takwimu ni namba. We matulatula
Sawa kama unataka namba hizo hapo Mayele ana 4 Kibu ana 3 na anayeongoza ana magoli matano
IMG_20211230_200858.jpg
 
Fiston Mayele amekuwa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Congo DR lini katika Kumbukumbu zako wakati kama tu Djuma Shaaban mnayemsifu akiitwa huwa anaishia tu Kuchoma Mahindi benchini?
Mayele hajacheza drc national team??
 
Kukaa benchi ( Kuchoma Mahindi ) ndiyo Kucheza Timu ya Taifa ya Congo DR?
Huu uzi ni WA kukuumbua tu. Bora hata usingeandika. Kwa washambuliaji NBCPL hakuna kama Mayele. Yupo complete. Kitu yule ni machachari ila sio hatari.
 
Goli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
 
Goli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
Wewe ni mfuatiliaji mzuri!

Hii tabia ndo linawaumiza wachezaji wa timu zingine za NBC League, magoli matamu mengine yamefungwa na wachezaji wa timu zingine tena mazuri na la kuvutia, mihemko tu kusema kwamba goli la Mayele ni bora kuliko lote Tanzania!!? Kweli???

Shida yetu hatuna mfumo mzuri wa kurekodi magoli mazuri ya kila mechi ndo maana hali iko hivyo
 
Goli kama la mayele lilifungwa mapema na kijana Crispin Ngushi wa Mbeya kwanza anayelipwa 250,000/- na anatokea mtaani na Wala hatujasikia kelele
Unamaanisha ngushi mchezaji mpya wa yanga aliecheza mapinduzi jana?
 
Back
Top Bottom