Kama unaamini ni za kweli basi mpira haufatilii ni oya oya tu. Yaani ni sawasawa na mtu akwambie 1 + 1 = 4 halafu wewe umuamini. Kigezo cha hapo kumuamini huyo ni kwamba nawewe ni hamnazo akilini mwako kama huyo aliyekufahamisha hivyo haujui kama 1 + 1 jibu lake ni mbili.
Swala la kusema mchezaji ana msimu wa kwanza Tanzania lakini anafukuzana na aliowakuta hapo huo sio mlinganisho bali ni takwimu. Mlinganisho ni pale unapoanza kuchuja kujua ni nani ni bora kuliko mwingine aidha kwa kutumia takwimu au kiufundi zaidi.