Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

Wakati 'tukihangaika' Kumsifu sana Mayele kwa Goli lake la 'Kawaida' mno huko Redioni, tusijisahaulishe na 'Takwimu' hii

Mimi ni mshabiki wa Simba hivyo simjui vizuri Mayele lakini kwa lile goli la jana nimemjua vizuri. Jamaa hakubahatisha.

Nilikichambua lile goli, niliona haya...
-Mayele alikuwa akikimbia kuelekea golini akitegemea krosi ikipigwa atafunga kwa kichwa...
-Mpira wa krosi ulipopigwa ghafla akageuka na kulipa mgongo goli....
-Mpira wa krosi ulipopigwa hakuwa kwenye position ya mwanzo ya kufikiwa na mpira....
-Aliyetegemewa kufunga (Faisal?) alipobinuka bila mafanikio ya kuupiga mpira, ghafla Mayele katika ya msitu wa mabeki wanne alikwenda hewani na kufyatuka tikitaka iliyovutia mnoo.
 
Simba mchezaji gani anaenda cheza AFCON🤣🤣🤣 yanga DJIGUI DIARA kuthibitisha yanga tunasjili majembe sio magalasa ivi BANDA SAKO VIPI🤣🤣
Bangala,djuma na mukoko wameitwa national team pia,japo kwa match za kirafiki but inaleta impact flan Yanga uwa atukurupuki kusajili,na ndio maana kolo uwa wanatuangalia tunataka kusajili nani ili wamuwahi wao
 
Mimi ni mshabiki wa Simba hivyo simjui vizuri Mayele lakini kwa lile goli la jana nimemjua vizuri. Jamaa hakubahatisha.

Nilikichambua lile goli, niliona haya...
-Mayele alikuwa akikimbia kuelekea golini akitegemea krosi ikipigwa atafunga kwa kichwa...
-Mpira wa krosi ulipopigwa ghafla akageuka na kulipa mgongo goli....
-Mpira wa krosi ulipopigwa hakuwa kwenye position ya mwanzo ya kufikiwa na mpira....
-Aliyetegemewa kufunga (Faisal?) alipobinuka bila mafanikio ya kuupiga mpira, ghafla Mayele katika ya msitu wa mabeki wanne alikwenda hewani na kufyatuka tikitaka iliyovutia mnoo.
Jaribu kupitia goli alilotufunga stars hapo taifa akiwa na timu ya taifa ya congo,angalia aliloifunga simba kwenye ngao ya hisani,angalia goli alilowafunga azam hapo ndio utagundua jamaa ni mfungaji mzuri
 
Ndio madhara ya kukopi na kupaste vitu bila kutumia akili yako. Tokea jana kabla hata Mayele hakucheza mechi yake ya 10 kwenye ligi kuu mlipost kuwa kacheza mechi 10 ana magoli 3. Cha ajabu jana Mayele kacheza mechi yake ya 10 kafunga goli lakini bado mmekazania goli tatu. Wivu ukizidi unaenda kwenye kuwa wachawi.
Rekebisha hapo utuambie takwimu sahihi
 
Rekebisha hapo utuambie takwimu sahihi
Nirekebishe nini kama mmeamua kupotosha endeleeni kupotosha. Ila hakuna mshabiki wa mpira anayefanya mlinganyisho wa wachezaji wakati ligi ndio kwanza ipo raundi ya kumi. Usimba na Uyanga ndio unawasumbua. Mchezaji ana msimu wake wa kwanza tu Tanzania lakini anafukuzana na aliyowakuta kwenye ligi kuu
 
Dogo usimfananishe Mayele na hilo galasa lililofinga magoli ya kuotea mechi na wagonjwa wa IC..
MAYELE ni moto wa kuotea mbali kabisa
 
Mimi ni mshabiki wa Simba hivyo simjui vizuri Mayele lakini kwa lile goli la jana nimemjua vizuri. Jamaa hakubahatisha.

Nilikichambua lile goli, niliona haya...
-Mayele alikuwa akikimbia kuelekea golini akitegemea krosi ikipigwa atafunga kwa kichwa...
-Mpira wa krosi ulipopigwa ghafla akageuka na kulipa mgongo goli....
-Mpira wa krosi ulipopigwa hakuwa kwenye position ya mwanzo ya kufikiwa na mpira....
-Aliyetegemewa kufunga (Faisal?) alipobinuka bila mafanikio ya kuupiga mpira, ghafla Mayele katika ya msitu wa mabeki wanne alikwenda hewani na kufyatuka tikitaka iliyovutia mnoo.
Hatuna mwana Simba SC Mnafiki kama Wewe tafadhali na acha Kutuchezea Akili Watu tuliokuzidi Akili na ufahamu wa Mambo ( Masuala ) ya Soka ( hasa hili la Bongo Tanzania ) sawa?
 
Goli alilofunga Mayele Jana Kuna Mtoto wa Mbeya Kwanza Alipiga Zuri kuliko Lile, kuanzia Aliye toa assist alipiga acrobatic na mfungaji pia
 
Yanga ni kikundi cha wahuni tu, wasiojua wanachofanya😂😂😂
(Mbeleko FC)
 
Akili yako ina kamasi
Kibu Denis

Mechi 7
Magoli 4

Fiston Mayele

Mechi 10
Magoli 3

Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili jana imebebwa tena na Mwamuzi ( Referee ) kwa 'Kuzawadiwa' Penati.

Kwangu Mimi GENTAMYCINE bado sijaona Magoli mazuri kama lile moja la Msimu uliopita lililofungwa na Beki Mohammed Hussein Tshabalala Mkoani kwa kupiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza liligonga Mwamba wa juu, ukagonga wa pembeni na kujaa Nyavuni.

Lingine ni la Juzi la Mshambuliaji Kibu Denis ambapo alipiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza lilijaa mno Mguuni, ukaenda vizuri na ukajaa ipasavyo Nyavuni. Na aliupiga akiwa mbali kidogo na ni Goli ambalo hata IMF au WB wanaweza Kukupa Mkopo wa Riba nafuu.

Nina Mdogo wangu huku Mtaani ( Uswahilini ) Kwetu anafunga mara kwa mara haya Magoli kama alilofunga jana Fiston Mayele halafu wala haringi ila anahangaika sana kutaka Kufunga Magoli kama hilo la Mohammed Hussein Tshabalala na Kibu Denis ila anashindwa kwa kusema kuwa ni Magoli magumu na yanahitaji Akili Kubwa sana Kuyafunga.
 
Goli alilofunga Mayele Jana Kuna Mtoto wa Mbeya Kwanza Alipiga Zuri kuliko Lile, kuanzia Aliye toa assist alipiga acrobatic na mfungaji pia
Vipi Kibu Denis kalifunga goli kama hilo? Hapa anazungumziwa Kibu Denis vs Mayele.
 
kuna goli aliwahi funga adabra kadabra wakati yuko yanga lilikuwa goli kama la mayele lkn lake kadabra (AJIBU) lilikuwa ZURI kuliko hili la Mayele ila halijawahi ongelewa
check hapa

Nirekebishe nini kama mmeamua kupotosha endeleeni kupotosha. Ila hakuna mshabiki wa mpira anayefanya mlinganyisho wa wachezaji wakati ligi ndio kwanza ipo raundi ya kumi. Usimba na Uyanga ndio unawasumbua. Mchezaji ana msimu wake wa kwanza tu Tanzania lakini anafukuzana na aliyowakuta kwenye ligi kuu
Asa ukisema mchezaji ana msimu wa kwanza Tanzania lakini anafukuzana na aluowakuta kwenye ligi sio unafanya mlinganisho?
Na sisi tusio na takwimu sahihi tunabaki na hizo za jamaa maana tunaamini ni za kweli na hamna nyani wa utopolo aliyeweza kuzikosoa.
 
Kama unaamini ni za kweli basi mpira haufatilii ni oya oya tu. Yaani ni sawasawa na mtu akwambie 1 + 1 = 4 halafu wewe umuamini. Kigezo cha hapo kumuamini huyo ni kwamba nawewe ni hamnazo akilini mwako kama huyo aliyekufahamisha hivyo haujui kama 1 + 1 jibu lake ni mbili.

Swala la kusema mchezaji ana msimu wa kwanza Tanzania lakini anafukuzana na aliowakuta hapo huo sio mlinganisho bali ni takwimu. Mlinganisho ni pale unapoanza kuchuja kujua ni nani ni bora kuliko mwingine aidha kwa kutumia takwimu au kiufundi zaidi.
 
Nakuna mtu hapa alikujibuni vizuri sana....na hapa namnukuu...
Inawezekana kabisa kocha wa simba akiambiwa achague straika mmoja toka yanga kwa sasa lazima atam point Mayele....lakini kocha wa yanga akiambiwa achague straika mmoja toka simba inawezekana kabisa huenda asimchague Kibu...
Mwisho wa kunukuu.
Yanga kuna Kocha gani Wa Kuwa na Uhalali Wa Kuchagua Mchezaji Simba.

Nabi bado hana Mafanikio hata moja tangia Afukuzwe El Merrekh....!

Kuongoza ligi Hata Mwinyi Zahera Aliongoza Sana ....Lakini Kilichotokea S.S.C Walichukua ndoo miaka mi4 Mfululizo na Sasa Wapo timu 12 bora Barani Afrika.
 
Back
Top Bottom