Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Mimi ni mshabiki wa Simba hivyo simjui vizuri Mayele lakini kwa lile goli la jana nimemjua vizuri. Jamaa hakubahatisha.
Nilikichambua lile goli, niliona haya...
-Mayele alikuwa akikimbia kuelekea golini akitegemea krosi ikipigwa atafunga kwa kichwa...
-Mpira wa krosi ulipopigwa ghafla akageuka na kulipa mgongo goli....
-Mpira wa krosi ulipopigwa hakuwa kwenye position ya mwanzo ya kufikiwa na mpira....
-Aliyetegemewa kufunga (Faisal?) alipobinuka bila mafanikio ya kuupiga mpira, ghafla Mayele katika ya msitu wa mabeki wanne alikwenda hewani na kufyatuka tikitaka iliyovutia mnoo.