nyembela
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 413
- 525
kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo.
Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na aliyeshindwa mwanzo amepoteza, hivyo kabla ya kufikiria ushindi wa jumla nakufurahia.
Je, muda wako unakupa taarifa gani?
Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na aliyeshindwa mwanzo amepoteza, hivyo kabla ya kufikiria ushindi wa jumla nakufurahia.
Je, muda wako unakupa taarifa gani?