Tulia na utupe mawazo kwa utulivu, kama ulikuwa mbio hivi!kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo.
Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na aliyeshindwa mwanzo amepoteza, hivyo kabla ya kufikiria ushindi wa jumla nakufurahia.
Je, muda wako unakupa taarifa gani?
wametia aibu snNimejifunza mengi kutoka kwa mwakili wa wa pande zote. Ila kuambiwa kaseme hiki lazima usahau tofauti na ulichoshuhudia
Usimhuhudie jirani yako uongo!Nimegundua mawakili wa serikali siyo watu,, wazuri wanatetea kesi ya kubambika waziwazi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ungeanzia kwa mijitu ilipanga hiyo kesiNimegundua mawakili wa serikali siyo watu,, wazuri wanatetea kesi ya kubambika waziwazi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ata wewe ukiua mtuNimegundua mawakili wa serikali siyo watu,, wazuri wanatetea kesi ya kubambika waziwazi
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
JF hatuna hulka ya kuweka vitu vya wazi kwa mafumbo mafumbo. Huku siyo twitter...kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo.
Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na aliyeshindwa mwanzo amepoteza, hivyo kabla ya kufikiria ushindi wa jumla nakufurahia.
Je, muda wako unakupa taarifa gani?