Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

Zanzibar ni kama mkoa kivipi? Mbona wana Raisi wana Bunge wana Bendera wana wimbo wa Taifa ni Mkoa gani mwengine wenye mambo kama hayo?
 
Naunga mkono hoja kwa 💯/=
 
Naunga mkono hoja
 
Marufuku hayo vipi? Na hiyo Tanzania ni pamoja na zanzibar bila zanzibar hakuna hiyo Tanzania
yes, Zanzibar waongoze Zanzibar na Mtanganyika ndio aingoze Tanzania...lasivyo inakua kama hivi sasa ambavyo tunamarasi wa zanzibari wawili mmoja anatawala Tanzania ambayo ni pamoja na Zanzibar na mwingine anatawala Zanzibar.
 
Kwani Zanzibar Kuna Serikali ya watumbatu na waamidu!!??
Nje ya Muungano hakuna Zanzibar, kuna Unguja na Pemba....likewise hakuna Tanganyika, kuna: zones: Lake, South, North Central, Western, Coast etc....
 
Nje ya Muungano hakuna Zanzibar, kuna Unguja na Pemba....likewise hakuna Tanganyika, kuna: zones: Lake, South, North Central, Western, Coast etc....
Lazima utoe sababu za kimantiki tena za kisayansi.

Haya mambo ya kujikaririsha maoni ya watu wengine siyo sawa kabisa.
 
Nje ya Muungano hakuna Zanzibar, kuna Unguja na Pemba....likewise hakuna Tanganyika, kuna: zones: Lake, South, North Central, Western, Coast etc....
Hayo ni mawazo yako una haki ya kuwaza unavopenda wazanzibari ni wamoja
 
yes, Zanzibar waongoze Zanzibar na Mtanganyika ndio aingoze Tanzania...lasivyo inakua kama hivi sasa ambavyo tunamarasi wa zanzibari wawili mmoja anatawala Tanzania ambayo ni pamoja na Zanzibar na mwingine anatawala Zanzibar.
Kama ni hivo hapo kwenye Tanzania isomeke Tanganyika lakini ukiweka tu Tanzania basi ni pamoja na zanzibar bila ya zanzibar hakuna Tanzania
 
Tuanze na serikali moja hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…