Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

Wakati umefika sasa kuwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.

Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
 
IMG_20230817_102917.jpg
 
Kwenye mambo yanayohusu maslai ya wazanzibar kwenye muungano, wazanzibar huondoa tofauti zao za kichama na kiitikadi na kuwa kitu kimoja kutetea maslai ya wazanzibar, tofauti kabisa na huku Tanganyika inapotokea ukinzano wa kutetea maslai ya watanganyika, katika muungano watanganyika tunagawanyika ,wapo watakao kuwa upande wa Tanganyika na wapo watanganyika watakao didimiza maslai ya Tanganyika kwa sababu ya maslai yao binafsi
 
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.

Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
Ikifika huko mjiandae na Serikali ya Sukuma gang vs other regions
 
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.

Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
Chakwanza ni kupiga Marufuku mtu kutoka Zanzibar kuja kuongoza Tanzania...
 
Na jambo la kushangaza wazanzibari wanasema suala la bandari siyo la muungano. Lakini ukiangalia kwenye IGA ya DP World aliyesaini ni mzanzibari. Kusema kweli hapa kama ni uhaini basi wote watanganyika wenye akili timamu itabidi tushitakiwe kwa hilo kosa. Huwezi ukakaa kimya mali ya mama yako inaporwa na watoto wa mama wa kambo.
 
Tanganyika ndio Nini sisi wayanzania hata tukivunja muungano bado tutajiita TZ

Kuoigania maslahi ya tanganyika sawa na kusema tuunde chombo Cha kusimamia maslahi ya mwanaume kamanilivyo kwa wanawake, au maslahi ya Mzungu zidi ya mwafrika, au maslahi na haki ya Mume Kama ilivyo mke nk

Tanganyika ni GIANT kwenye muungano na Zanzibar ni mtoto so haki yakuoiganiwa ni yamtoto ukisema Giant udai haki ni kujizalilisha Zanzibar ni kama mkoa ti kwa Tanganyika/Tz
 
Utajiita Tanzania??

Haya mambo ya kukaririshwa ni laana. Tutaendelaje kujiita Tanzania bila ya Zanzibar!!
So tukiita TZ bila Zanzibar nani atatuzuia, ni kosa, au tatizo nini nani atahoji is it us full independent state.
 
Back
Top Bottom