Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Komaa tu mkuu yatapita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Pole wahindi sio watu wa mchezo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah maisha haya nakumbuka miaka kadhaa baada ya kumaliza elimu ya msingi nikashindwa kuendelea japo nilipenda kusoma ila sikuwa na kitu nikaingia kuchimba kokoto maeneo ya kunduchi dah jua kali ila ninakomaa tu nikapata ka elf 20 ndio nikapewa mchongo wa kusafilisha bangi kutoka masasi na hapa ndio nilipopata mwanga wa maisha mpk sasa hivi nipo vyema japo biashala hiyo nishaiacha miaka 6 nyuma ila nashukulu Mungu miladi niliyonayo inanifanya niishi kidon mjini hapa na kuheshimika juu
 
Dah! Kumbe watu waoga bado mpo🤔🤗
Tatizo haikuwa uoga ilikuwa pesa ya kusafiri kutoka Kenya kwenda Somalia na kupindi hicho sina hata kitu.

Mimi sichagui eneo la kufanya kazi hata leo naweza kwenda Somalia.
 
Bado uko kwenye ulinzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kupigika, kama kwa siku ulitengeneza 3,500/=, nahisi ungeweza kutengeneza pesa nzuri kama ungeendelea, ambacho kingekuanguasha ni ubora usioridhisha wa bidhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kwa hiyo umetakatisha pesa mkuu?
 
Ni maisha ndivyo yalivyo, Mimi baada ya kumaliza kidato cha 4 ilinibidi nianze kufundisha tuition mtaan kwetu, nilianza na wawili ila baada ya muda wakaongeza
Nilipomaliza kidato cha sita hapo nikaona nirudie kazi yangu, nikapata dili la kufundisha mtoto wa daktari kibaha huko, asbh napiga tuition jioni nafundisha watoto wa kipemba, weekend naenda kibaha aisee nilikua sipumziki kabisa....
Sifa zikazidi nikaombwa niende kufundisha Mpwapwa , Dodoma kuna kituo cha elimu ya watu wazima nilipiga shule pale lakini malipo yakawa shida nikaamua kurudi Dar,
Nikarudi tena kwenye dambwe langu, baada ya wiki 3 nikaombwa niende nikafundishe shule moja iko Njopeka huko pwani inaitwa Lukanga,

Mpaka naenda kuanza chuo nilipitia vingi sana lakini yote tisa ndio maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kupigika, kama kwa siku ulitengeneza 3,500/=, nahisi ungeweza kutengeneza pesa nzuri kama ungeendelea, ambacho kingekuanguasha ni ubora usioridhisha wa bidhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachukulia simple sana mkuu,hustle za kutembeza hayo mazaga acha tu na sio kila siku utapata hiyo..Kumbuka hiyo faida unayoipata ndo nauli yako na kula yako. Mwaka 2006 nilipambana wiki moja nikakubali yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mane naomba ukishaconfirm hku unikumbuke kwa tag katika mishe hiyo, Nijilipue😀😀


Pamoja sana mamy!...
Mie naamini kuwa ukitoka ulipo kufanikiwa ni rahisi sana! I rem miaka ya 2016-2017 tulijikuta tu mm ma marafiki zangu wa ukubwan km wa5 hv waume zetu wakawa wanafanya kazi sehem moja...bas tukawa na mishe za hapa na pale ufigaji kilimo na kujishikiza kwa ajira isiyo nakipato kizuri .bas mshahara wa wenzetu ukitoka tunatumiana msg chap!!...ili tu kupewa walau kahela kakukidhi mahitaji yako....! Yaan saa1 unakuta sms oya kitu kimetema uanze kueleza shida zako...na bado usitimiziwe hata 20%🤣🤣🤣! Sikupenda ile hali...shida ikawa kutoka kwenye comfort zone...unafikiria mambo mengiiii plus hofu isiyokuwa na maana!😄😄😄!
Nikaamua kwanza kujitoa kwa lile kundi ....sie wengine tulipigika tulipokuwa ndoani😉!
Thankyou God!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…