Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Kwasabbu gani?
Kwanza amemtelekeza mtoto akiwa na miaka 5 kwa Bibi yake,hakua kurudi Hadi bibi anafariki,mpka mtoto anapelekwa kwa Bibi mwingine

Haya mtoto kapelekwa kwa baba yake anateswa mpaka anataka kuuliwa kisimani Mama hayupo tuu

Mtoto mpaka anaondoka kwa baba na kupitia changamoto mbalimbali mama asimtafute tuu mwanae


Haya mtoto kaja kumtafuta mama na mambo bado hayakua mazuri


Kweli his mother is EMINEM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa nini maisha haya yasikie tushapata more than hio kwa ten days Leo naandika hapa Sina MB za kutosha
 
Hiyo hela ni kubwa mno hata mimi nilirudia kusoma uzi wake mara mbili mbili nisiamini nilichokisoma, naona starehe zilikuwa nyingi
 
Mamake hakuwa tayari kuwa na. Mtoto ni basi tu
 
@kidukulilo [emoji23][emoji4][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu Mkuu, na Kuna demu anajua Mimi ni 'afisa ' nimeajiriwa Manispaa Kama 'land surveya ' hiyo gia niliingia nayo ili anikubali Kwa sababu ningemwambia ukweli Mimi muuza ubuyu na karanga angenikatalia

Hapo mnakosea sana...maana ww nafs yako itakutesa...na utujuavyo wanawake tena😊!
 
[emoji1][emoji1] shkamoo mwalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa haujapigika kisawa sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu hakipo sawa !! [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ladies roads are always that simple ..Alwayssss!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaopata ongezeko hawabadiliki, ila nimewaelewa nyie wenye mrengo huo kuishi kwa matanuzi pindi kipato kikiongezeka

Tumeumbwa tofauti, ndio maana kuna watu wataendelea kuwa masikini milele na wapo ambao wapo "destined" kuwa matajiri regardless ya kipato unachopata (subject to health issues)

Kinachonisikitisha kuna watu badala wajifunze kutokana na uzoefu mbaya walioupitia watu humu, wanakaza shingo

Halafu matumizi yanayotajwa eti kupangishia mchepuko, kununua pamba kali (utadhani nguo ni pampasi mtu akiivaa mara moja inatupwa) n.k

Huyu jamaa kwa maelezo yake, angeweza kuishi kwa posho za safari tu na mshahara wake ukafanya kazi ya kuwekeza, maana amesema safari alikuwa nazo kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…