October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Wangekutoa ubongo ubaki kama @WakudadavuaNiliwaza kudanga’ kua kibarua kwa mma ntilie japo zote hizo sikufanya
Ukiwa mwanafunzi tena wa chuo kuna kipindi unapigika haswaaa na ukizingatia msaada wa nyumbani ni mchache Au hamna kabisa.. ni wiki Tatu tu za kufulia ila zilinipeleka nikawa nawaza kaZi nyingi sana hadi kuingia ccm[emoji23][emoji23] kuna ile mikutano wanaccm wanaelewa
Mimi na x wangu tulimaliza chuo pamoja na wote tukawa tumefulia kipindi hatujapata kazi, kuna siku (Mpaka leo najuta sana) nilimwambia ajipeleke kwa x wake wa zamani ili mradi tupate kupitisha siku, maisha haya tunapitia mengi sana.Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Sifa za kijinga
Ni sawa Lin nilijifunza Jambo,muda wote tufanye kazi tuweke akiba
vipi tigo yako bado umeitunza?Niliwaza kutoa tigo tight mpya Ila nikahisi mteja akiwa muhuni akinirusha,haya maisha jamani,usiombe uishiwe hata mkeo unaweza tamani umruhusu achepuke muishi,tufanyeji kazi kwa bidii siku zote za uhai wetu tukiwa na uthubtu wa maisha
Nchi jirani hapo ktk harakati za kutafta maisha ndugu yanguPole sana,hiyo ilikuwa nchi gani?
Pamoja mkuu.Nchi jirani hapo ktk harakati za kutafta maisha ndugu yangu
huyo demu aliupokeaje uamuzi wako?Mimi na x wangu tulimaliza chuo pamoja na wote tukawa tumefulia kipindi hatujapata kazi, kuna siku (Mpaka leo najuta sana) nilimwambia ajipeleke kwa x wake wa zamani ili mradi tupate kupitisha siku, maisha haya tunapitia mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi nimeusahau uliandikwaje mkuuNipe connection hiyo nkapige kazi babake, sichagui kazi mimi
Ulivutiwa na wale jamaa wanaoandika majina yao na kumalizia neno fx au trader utaskia JOHN FX