Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Haya maisha haya.acheni tu.

Nilishawahi kufikiria kujiuza.
_ila namshukuru MUNGU Sana kwa kuniepusha na kikombe cha uzinzi..
Asante MUNGU kwa yotee[emoji120][emoji24]
..ila kuna mwanaume alikuwa ananitongoza mda mrefu na nlikuwa simpendi kweli.
Ila nilipitia magumu acha..nikajikuta namkubalia bila kupenda na mpaka sasa ni MUME wangu.

Baba kedoo nakupenda sana.
Umenivusha kwenye MAGUMU kutoka kusimangwa mpaka Kuheshimiwa....
[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ilibidi tu umpende kwa sababu ya pesa akutue mzigo wa umaskini. Uongo?
 
Dah nimesoma comment zote maisha yana changamoto nyingi sana. Nimejifunza vingi sana kupitia huu uzi.

Nikipata muda nitakuja kuweka story yangu ya kumaliza chuo na kuishia kung'oa visiki na kuchoma mkaa na kuokota kuni na kuziuza. 😁😁
Huo ndo uanaume..tuwekee tujifunze
 
September 2, 2018 Jumapili. Siku hii nilikuwa chinga nauza vitu natembea mtaani, never will I forget.

Baada ya kumaliza chuo nikafungua kaduka kangu Hombolo,

Sasa jumamosi nimefungua duka mapema sana, kwa sababu weekend wanafunzi hawaendi class so movement inakuwa nyingi from morning.

Mapema sana nipo dukani, sijaagiza chai nasema mteja akija ukinunua kitu kile kifaida naagiza Pepsi na mihogo.

Saa nne asubuhi hakuna mtu aliyekuja hata kuulizia bei. Saa saba, saa tisa peupe sijala hapo watu wanapita tuu.

Nikajipa moyo jua la Dodoma kali ngoja jioni ifike, bwana wangu jioni inafika peupe. Usiku ukaingia hakuna mteja.

Nimekaa dukani mpaka saa 4 usiku, watu wakaisha. Nikapiga magoti chini kama kuna siku niliwahi kusali kwa imani basi ile ni moja wapo. Niliogopa sana kama kama hali ingendelea na jumapili nisiuze tena daah,

Kinyonge nikarudi nyumbani, Nilikuwa nimepanga room moja ina ndoo ya kuoga, bag la nguo(school bag) na godoro. Nikakumbuka mama alivokuwa ananisisitizia nichukue vitu vya kuanzia maisha nikagoma.

Sikulala, nikawaza nafanyaje mimi? Kitu kikaniambia amka Manka kesho nenda katembeze vitu kwa watu, wapelekee kwao.

Basi, jumapili nikaamka nikawahi dukani, nikapakia vitu vyangu kwenye bag nangoja ifike saa mbili.

Nilivotoka saa 4 tuu vimeisha nikarudi nikapakia vingine nikazungusha tena hadi saa 7 mchana.

Nikarudi dukani kupumzika sasa. Na njaa ikaanza nikaagiza chipsi yai na pepsi baridiiii nikala na huku wateja wanakuja si haba siku ikapita maisha yakaendelea.

Dah pole sana mkuu. Ndo maisha hayo.

Badae ikawejw mkuu, uliendelea njia hiyo hiyo? Na vip hatima ya biashara yako ya duka?
 
Nilihisi ni jaribu Mungu alinipa kwa siku moja aone nitafanya nini? Haikuwahi kutokea tena.

Muda si mrefu from there, Nilipata kibarua cha professional yangu, nikaacha, kikaachia Binamu yangu akaenda ananiibia sema mali ya dhuluma haidumu Duka likafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
September 2, 2018 Jumapili. Siku hii nilikuwa chinga nauza vitu natembea mtaani, never will I forget.

Baada ya kumaliza chuo nikafungua kaduka kangu Hombolo,

Sasa jumamosi nimefungua duka mapema sana, kwa sababu weekend wanafunzi hawaendi class so movement inakuwa nyingi from morning.

Mapema sana nipo dukani, sijaagiza chai nasema mteja akija ukinunua kitu kile kifaida naagiza Pepsi na mihogo.

Saa nne asubuhi hakuna mtu aliyekuja hata kuulizia bei. Saa saba, saa tisa peupe sijala hapo watu wanapita tuu.

Nikajipa moyo jua la Dodoma kali ngoja jioni ifike, bwana wangu jioni inafika peupe. Usiku ukaingia hakuna mteja.

Nimekaa dukani mpaka saa 4 usiku, watu wakaisha. Nikapiga magoti chini kama kuna siku niliwahi kusali kwa imani basi ile ni moja wapo. Niliogopa sana kama kama hali ingendelea na jumapili nisiuze tena daah,

Kinyonge nikarudi nyumbani, Nilikuwa nimepanga room moja ina ndoo ya kuoga, bag la nguo(school bag) na godoro. Nikakumbuka mama alivokuwa ananisisitizia nichukue vitu vya kuanzia maisha nikagoma.

Sikulala, nikawaza nafanyaje mimi? Kitu kikaniambia amka Manka kesho nenda katembeze vitu kwa watu, wapelekee kwao.

Basi, jumapili nikaamka nikawahi dukani, nikapakia vitu vyangu kwenye bag nangoja ifike saa mbili.

Nilivotoka saa 4 tuu vimeisha nikarudi nikapakia vingine nikazungusha tena hadi saa 7 mchana.

Nikarudi dukani kupumzika sasa. Na njaa ikaanza nikaagiza chipsi yai na pepsi baridiiii nikala na huku wateja wanakuja si haba siku ikapita maisha yakaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu,siku zote Mungu anajibu maombi [emoji120]baadae na mm nitaandika mkasa wangu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajibu indeed in miraculous ways.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi wa kufilisika wengi walilizwa na ndugu zao au marafiki/business partners.
Ila wengi wengi zaidi ni ndugu.
Yote kwa yote pole. Ila jiwekezee usije kua kama yule ndugu wa 2.8M kwa mwezi ndani ya miaka 9 akaishia kusomesha ndugu na kudharaulika.
 
cadey njoo umalizie ile story basi
Asante kwa kunikumbusha,kweli nilisema nitaleta story mbili ya congo na Macau China lakin nilileta ya congo tuu,iyo nyingine niliamua kuipotezea kwa sasa kwasababu baadhi ya wahusika kwenye story wapo mahabusu na wengine jela na mmoja wao ni mdogo wangu kabisa na tuligombana hatuna mahusiano mazuri ,mambo yakikaa sawa siku zijazo nitaileta.
 
Ok sawa ila wengi humu wanatumia codes ili kufubaza stori so kama nafsi yako siku ikiridhia utatupatia panapo majaaliwa.
 
Ni mwaka ambao nilimaliza elimu ya msingi na hakuna dalili za kuendelea na masomo, pika sana ‘gongo’ kwenye chimbo la mama.... kwa bahati njema matokeo yakatoka nimechana na nikaotea kupata ufadhili wa ada.

Shule ya kutwa ya kata nikapiga kitabu, ila kwa pesa niliyokuwa nakamata kwa kuuza ‘gongo’ nilitamani kuendelea nayo.... pika sana kiasi kwamba nikawa na pesa ya kutosha kuwavimbia vijana wenzangu.

Kila wikendi napiga mwendo wa baiskeli kurudi nyumbani kusimamia uzalishaji na kukusanya mauzo, nikirudi shule hakuna ajuaye dili zangu mi najenga heshima tu... ghafla serikali ikaanza kuzingua biashara yetu iliyotulea na kuiita ‘haramu’.

Pesa yangu nyingi kumiliki (utajiri wangu) nilianzia kwenye gongo, sijawahi kumsamehe mtu yeyote anayekandia hii kitu... nahisi ndo chanzo cha ugomvi wangu na serikali.

Baba Ako.
 
Haya maisha haya.acheni tu.

Nilishawahi kufikiria kujiuza.
_ila namshukuru MUNGU Sana kwa kuniepusha na kikombe cha uzinzi..
Asante MUNGU kwa yotee[emoji120][emoji24]
..ila kuna mwanaume alikuwa ananitongoza mda mrefu na nlikuwa simpendi kweli.
Ila nilipitia magumu acha..nikajikuta namkubalia bila kupenda na mpaka sasa ni MUME wangu.

Baba kedoo nakupenda sana.
Umenivusha kwenye MAGUMU kutoka kusimangwa mpaka Kuheshimiwa....
[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Technically umejiuza kwa huyo baba kedo, kwasababu ulikua humpendi bali ulimpendea hela zake, shida za kipesa ndo zilikupeleka kwake Melanny
 
Nilipohitimu Chuo nikawa sina hata mia, nakaa mpaka siku 3 sijala.

Mpaka nikilala wakati mwingine, tumbo linahamia upande mmoja - wakati huo huo Transcript, Academic, Enrolment Baraza na License natakiwa kulipia kama Tsh 200,000 ili nipate uhalali wa kutumia taaluma yangu.

Waswahili nao majungu mwanzo mwisho. Kila nikiomba hata kazi Car Wash sipati.

Hapo ndio nikaanza kuuelewa ule msemo wa "What do you do for a living huwa una maana gani ?"

So, Nikawaza kwanini nisianze kuokota machupa.

Yaani Natoka Ukonga naenda hata Mburahati huko wasikonijua Naokota Nauza then narudi Jioni ?

Baada Ya Kutafakari sana, nikaghairi.

Nikaamua kuingia Kampuni za ulinzi. Yaani wakati naftafuta kazi hizo hata gari zenyewe nilikuwa napata nauli kwa kuunga sana, na kwasababu ya njaa nusura siku moja nizimie kwenye daladala ( Kwasababu Ya Foleni na Kusimama )

Mpaka sasa niko huku mwaka wa pili huu.

Mimi ni mwoga sana ninapoona hakuna tumaini la kupiga hatua hata kidogo tu kwenye maisha, huwa nakonda ghafla.
Brother unapambana sana. Vipi bado upo kwenye ulinzi mpaka sasa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom