Pole sana mkuumm nishakuwa mlinzi getini ktk nchi ya watu alafu pesa niliyokuwa nalipwa ni kama elfu50 ya kibongo na mwisho wa siku niliambulia risasi tu ya kiuno, staki kuandika mengi kuhusu hili jambo maana kila nnapoenda kuoga nikiliona hili kovu roho inaniuma sana.
Hii thread dah [emoji23]Ha Ha Ha Mimi huwa naendaga na 'ubuyu na karanga ' naweka Kwenye begi halafu naenda kuuza shule Fulani ya msingi kuuza nikimaliza kuuza naweka tena Kwenye begi narudi nyumbani kwangu Kama kilometers 2 hivii Mbali na ninapokaa, mtaani wakiniona nimebeba begi wanadhani Mimi ni 'Afisa ' naenda kazini kumbe begi limejaa ubuyu na karanga za kukaanga
Huu Uzi umekaa kidharau dharau na kazi za watu..
Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
@Tuttyfruity tunaomba mrejesho tafadhali.Baada ya mwaka ntakuja kuwapa story ya kazi nyingine ya ajabu. Naenda kuanza kesho [emoji23]. Kweli kua uyaone
Sent using Jamii Forums mobile app
Siro na WamburaAl manusura niende zangu Lebanon huko nikajichanganye na wazee wa kujilipua.
Nilikua nishapewa Abc zoote. Yaani ile nasema haya njooni mnichukue wangefika hadi kitaani kwetu.. Saa hizi ningekua nimeshikilia Ak47 na nusu kanzu yangu.
Be careful na watu mnaowasiliana nao.
Safari ilikua ya Zenji,Sanaa..then Lebanon. Kisha unapelekwa kukinukisha Israel huko
Waliniahidi dola kibao tu.. kilichoniponza ni vile kupenda kujua vitu na lugha za watu maana jamaa alinivutia jinsi anavyokichapa kiebrania..kiarabu..kizungu na kirusi.
Zenji ningeenda kukutana na wenzangu huko then tupigwe training ya kubrain wash huku familia imeachiwa madorari
Basi niwe houseboy hapo kwenu mi bado mambo magumuMimi kuna time niliomba kazi za. Uhousegirl nyumbani maana mshahara wa house girl ulikuwa mkubwa . Na kulikuwa na wafanyakazi wanne Nikaona bora nikawe house girl nyumbani kwanza huku nikijipanga tena
Mkuu japo naona umekula ban ..ukirudi niunganishe niende huko mimi nikifika natoroka.Al manusura niende zangu Lebanon huko nikajichanganye na wazee wa kujilipua.
Nilikua nishapewa Abc zoote. Yaani ile nasema haya njooni mnichukue wangefika hadi kitaani kwetu.. Saa hizi ningekua nimeshikilia Ak47 na nusu kanzu yangu.
Be careful na watu mnaowasiliana nao.
Safari ilikua ya Zenji,Sanaa..then Lebanon. Kisha unapelekwa kukinukisha Israel huko
Waliniahidi dola kibao tu.. kilichoniponza ni vile kupenda kujua vitu na lugha za watu maana jamaa alinivutia jinsi anavyokichapa kiebrania..kiarabu..kizungu na kirusi.
Zenji ningeenda kukutana na wenzangu huko then tupigwe training ya kubrain wash huku familia imeachiwa madorari
Wewe hukuwa na shida yeyote mzeebaba. Wewe nadhani ulikuwa na presha tu ya kuona huna ela..1- Kuna jamaa nilikua nae kitaa ila yeye anatoka asubuhi (alfajir) kwenye saa 9 alafu anarudi saa 4 asubuhi anatutambia mtaani nikasema huyu jamaa anapiga kazi nzuri sana yaani masaa ma 4 karudi kitaa na mpunga fresh, basi kwa kuwa nilikuwa nimepigika na life nikamwambia jamaa anipe connection jamaa akaniambia kesho asubuhi na mapema njoo Kariakoo mitaa ya Sokoni kuna mtu nitakukutanisha nae.
Basi kesho yake lukwili nikaenda K/koo nikakutana na jamaa kumbe kazi yake ilikua ni kusambaza maziwa kwenye madumu ya Lita 20 unapakia mawili kwenye Baiskeli unawasambazia mama ntilie na vimigahawa vidogodogo vya mulemule K/koo.
Ilikua ni hardwork kwangu mimi maana nilikua si mzoefu kuendesha Baiskeli alafu ukizingatia maeneo ya K/koo jinsi kulivyo kuwa busy na watu asubuh.
Nikamwambia jamaa ngoja nikafikirie basi sikurudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app