Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Pole sana mkuu
 
Hii thread dah [emoji23]
 
Siro na Wambura
 
Mkuu japo naona umekula ban ..ukirudi niunganishe niende huko mimi nikifika natoroka.
 
Wewe hukuwa na shida yeyote mzeebaba. Wewe nadhani ulikuwa na presha tu ya kuona huna ela..
 
Dah hatari Sana wakuu wiki xhache zilizopita nilitembeza bahasha kuanzia obey Hadi Salenda Ila hola kuna kampuni moja ya Ulinzi nilimkuta Mlinzi getini Naye akaniletea mapichapicha tu sa wakati natoka Salenda kuelekea coco beach nikajikuta najutia HILI life kinoma Hadi nilitaman wasiojulikana waje wanipe deal aisee.
 
Nakumbuka nilipigika mpaka nikalazimika kuomba deiwaka ya kuchambua chupa za soda za Coca-Cola kwa msambazaji na kutwa nkawa napewa 3000 na kazi ulikuwa inachosha mbaya unashinda umepinda mgongo. Nashukuru mungu kwasasa nimeona mwanga.
 
Nimesomea comments zote aisee nilidhani peke yangu ndo mwenye mapito kumbe ni wengi usione mtu anaendesha V8 Bali jiulize husle alizopitia mpaka level hio.

Japo mi ndo naanza mapito napiga dayworker(saidia fundi) ni fresh graduate wa chuo X maana Kuna msemo unasema hivi "sometimes we need to put qualifications aside and husle like a school dropout because pride doesn't Pay bills"..
But I believe hili nalo litapita Mungu akiwa upande wetu hakuna linaloshindikana.

Nikivuka stage hii nitaleta mrejesho kikubwa uzima tu.Our present situation is not our final destination..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…