Ulitumia fursa vizuri.Kuna kipindi nilipigika chuoni kila kazi niliiwaza hata kupata jimama linilee kukawa kuna kunguni chuo nikaenda kununua dawa nikawa nauza.
Sio poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuaje baada ya hapo?mliendlea kuwa pamoja?Mimi na x wangu tulimaliza chuo pamoja na wote tukawa tumefulia kipindi hatujapata kazi, kuna siku (Mpaka leo najuta sana) nilimwambia ajipeleke kwa x wake wa zamani ili mradi tupate kupitisha siku, maisha haya tunapitia mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh nchi gani hiyo mkuu?mm nishakuwa mlinzi getini ktk nchi ya watu alafu pesa niliyokuwa nalipwa ni kama elfu50 ya kibongo na mwisho wa siku niliambulia risasi tu ya kiuno, staki kuandika mengi kuhusu hili jambo maana kila nnapoenda kuoga nikiliona hili kovu roho inaniuma sana.
Hahaa dah kweli mtu mwenye njaa anakua mbunifu sana.Njaa ilitupiga Mimi na msela wangu tukawa tukusanya magazeti tunaenda kubadilishana na maandazi.
basi ulitisha sanaKuna kipindi maisha yalinipiga
Mpaka nilitamani ninywe azam ukwaju..!
Mlitaka ninywe nn sasa?
Mkuu hii inastahili thread inayojitegemea, ukipendezwa fanya hivyo, tujue yanayoendelea ulimwengu mwingine.Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Duh!!,Mshana we noma sana.Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Hongera.Hakuna kazi niliyokuwa naichukia na siipendi mpaka kesho japo wanaoifanya nawapenda na nawaheshimu saana! Sitaitaja kiuwazi ila kimaudhui wenye ufahamu wataelewa! Nilikuwa graduate fani tofauti na hiyo lakini nikajikuta natembea na bahasha kuomba toka ofisi moja hadi nyingine mwisho wa siku nikapata kuwapa maharifa form1. I seee! Nilivyokuwa nimepigika na nimekonda nilishukuru saana kupata japo hiyokazi na ulikuwa ndo mlango wa kupambana nikapata kamtaji nikaacha hiyo kazi na kuanza biashara iliyoniwezesha kutoboa kiasi fulani namshukuru Mungu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeroga sana na kuuza mizoga ya wafu
Jr[emoji769]
Mwaka 2018 nilipigika sana nilibuni biashara ya kuuza mkaa suku nzima inaweza kupita hakuna mtu anayekuja kununua mkaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuweza mandingo au jack napier au shane diesel?Nipe connection hiyo nkapige kazi babake, sichagui kazi mimi
Naona alifanya hivyo kutokana na uwelewa mdogo juu ya first aid ya burn aliyokuwa nayo kipindi hicho.Mkuu siku nyingine ukipata jeraha la moto usiweke kwenye maji baridi. Paka asali Au mafuta ya kupikia