mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
EU ina ukubwa wa km za mraba million 4.2 ina jumla ya GDP USD Trillion 18, kubwa jinga Russia lina ukubwa wa kilometa za mraba million 17 ila GDP ni USD Trillion 1.5 tu.
Thubutuu na wengine wamemwangalia Tu ? ! Kuna assured mutual destruction pact Kati ya United States na Russia ,usitegemee hata siku moja Russia atathubutu kutumia nuclear weapons ,atageuzwa dessert in minutesUrusi atupe muhogo mmoja wa Nyuklia tu humo, mpaka uwe na masalia ya nuclear tuone kama Ukraine atapita juu ya Nuclear particles
Mwambie huyo ,hajui maana ya " the second amendment right of the United States citizen " .raia Tu wana maghala ya silaha KuleAlooo cijui nani atakuwa na wendawazimu wa kuvamia Marekani. Ile inchi raia wanamiliki silaha za kivita kama wabongo tunavyomiliki visu.
Na swala lipo wazi kwenye katiba yao kujilinda kutoka adui wa nje ( mvamizi) na adui wa ndani ( tyrant ).
Tulia huyo kamanda mandonga anyooshweNateseka mno kumuona kamanda in chief anahangaishwa na Himars za kindezi
Ile budget Marekani aliyotumia Kule Afghanistan let alone Iraq ni budget ya kuijenga Africa hii na kuibadilisha kuwa ulaya ,trust meDaaa yaani uchambuzi mwingine huu!!yaani wewe uliyopo matombo huko, umeliona hilo kuliko hao maprof.wa duniani!!!hahaaa
Eti atakuja kula hasara babu kubwa!!!lile taifa achana nalo unafikiria ni dola trilioni ngapi zilitumika kwenye vita afganistani?, leo karibia dunia nzima kuna bases za kijeshi za USA, tena ni kwa gharama zao, mashirika yote ya kimataifa mchangiaji mkubwa ni yeye, umeshaona ametetereka?!mbona bado ndio taifa linaloongoza kwa uchumi duniani?
Jamaa ni genius aiseeMkuu una maneno machache saana ila ni dongo haswa, hakuna mtu humu anayeweza akathubutu kukujibu kiufasaha kwa nondo unazoshusha.
Hahaa wazee WA kugeuza magoli hao achana naoHa ha ha!!! Mlisheherekea sana wakati Mrusi anaanza kuparamia Ukraine, leo anapokea za uso mnaanza kulalamikia Marekani.
Mrusi huyo huyo alisamba pia Kwa hao wataliban akapigwa na kuikimbia Afghanistan Kwa aibu kubwa ,Marekani na NATO waliokua wanapigana kisasa na watalaban kwa miaka 20 lkn mwisho wake wakakimbia
Putin wanamminya mbupu huko DonbasFact gani mzee. Marekani anataka kutufanya dunia nzima wasenge kwa ubabe wake wa kijinga kwa mgongo wa demomrasia. Sasa kakutana na chuma cha pua Urusi hawapangiwi.
Wacha moto uwake tu hapo Ukraine hadi watakapobakia wanajeshi wawili.
Javelin zilitumika kutengenezea vibuyu vya kuhifadhia maziwaHivi javelin zilikuwa likizo kipindi Donestk inakamatwa na majeshi ya mrusi
Leo anaibuka Mrusi wa buza, eti hii vita ya ukraine inaenda kumfirisi USA!!!Wakati wala haimgharimu sana kwani yeye ni kumpa msaada wa vifaa tu mfano hadi sasa ameshatoa kama dola 13 bilioni .Ile budget Marekani aliyotumia Kule Afghanistan let alone Iraq ni budget ya kuijenga Africa hii na kuibadilisha kuwa ulaya ,trust me
Ilimshinda lini aliamua awaache ili aingie Donbas vizuriAhh! Wapi Kyev ilimshinda kaishia kupambana na tumiji twa mpakani.. Ameingia hasara mithili ya majeshi ya mataifa matano Afrika.
Kwenye ardhi Russia anautajiri kiasi gani?EU ina ukubwa wa km za mraba million 4.2 ina jumla ya GDP USD Trillion 18, kubwa jinga Russia lina ukubwa wa kilometa za mraba million 17 ila GDP ni USD Trillion 1.5 tu.
Hawa ni wachache tu lakini kuna viwanda vya silaha (ambavyo ndivyo vinasambaza silaha kwa sasa kule Ukraine), Investimate Banks na Private Equities ambao huwa na fedha za kuanzisha biashara kubwakubwa na wengine kama Hedge Funds ambazo hushughulikia "assets" ambazo zaweza kutoa fedha za kununua mashirika makubwa kama hapa kwetu TTCL na kadhalika.Mfano wa hao watu wanaoitwa "finance capital" ni kina nani?
Wataje watatu tu.
Na yamkini hiyo misaada ni pesa za Russia ambazo magharibi wanazishikilia.Leo anaibuka Mrusi wa buza, eti hii vita ya ukraine inaenda kumfirisi USA!!!Wakati wala haimgharimu sana kwani yeye ni kumpa msaada wa vifaa tu mfano hadi sasa ameshatoa kama dola 13 bilioni .
Uko sahihi.Na yamkini hiyo misaada ni pesa za Russia ambazo magharibi wanazishikilia.
Kwenye ardhi Russia anautajiri kiasi gani?
Akikijibu nitagWewe niambie kwanza kwenye ardhi Tanzania ana utajiri kiasi gani na Japan ana utajiri kiasi gani
Good try