Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa kuitumia......

JMJKSNVHPFASXJG6FKSRIRAA6U.webp
The VAMPIRE system can fit in almost any pickup or vehicle with a cargo bed. (Courtesy of L3Harris)

WASHINGTON — The U.S. is sending Ukraine “Vampire” kits that transform pickup trucks and other non-tactical vehicles into highly portable missile launchers.

As part of a $3 billion package for Ukraine that the Pentagon announced Wednesday, the Vehicle-Agnostic Modular Palletized ISR Rocket Equipment system is a portable kit that can be installed on most vehicles with a cargo bed for launching the Advanced Precision Kill Weapons System or other laser-guided munitions.

Source: ARMY TIMES
 
Hiki ndicho kitu Marekani anakipenda siku zote. Kutengeneza migogoro ya kivita duniani kote, ili wamiliki wa viwanda vya silaha wa Kimarekani wapate soko la kuuzia bidhaa zao.

Na wakati huo huo tenda za kuijenga upya hiyo nchi iliyo haribiwa na vita lazima yapewe makampuni ya Kimarekani!

Kiufupi tu Marekani ni Taifa la kijinga sana. Kamwe huwezi kuona vita inapiganwa nchini kwake! Yenyewe inapenda kuchochea vita kwenye nchi nyingine, halafu wakati mnauana, yenyewe inawauzia silaha na kuchukua yenda za ujenzi! Na kama kuna mafuta, inabeba kupeleka Marekani.

Yule Mchekeshaji Zelenysky anatumika pasipo yeye mwenyewe kujua.
 
There is a myriad of lethal weapons that the militarily mighty western countries have yet to give to Ukraine and once supplied to Ukraine will definitely send the Russians packing.

No at all, Russia with her advanced weapons in repository, can set ablaze most part of Ukraine and cause many people lives to perish let alone casualties etc, mind you, Russia will never ever accept defeat in this operation . By NATO and The US supplying weapons to Ukraine it is just like fuelling the crisis and it is Ukraine which, so far, suffers a lot. Russia uses her high-tech weapons in calculations.
 
Alooo cijui nani atakuwa na wendawazimu wa kuvamia Marekani. Ile inchi raia wanamiliki silaha za kivita kama wabongo tunavyomiliki visu.

Na swala lipo wazi kwenye katiba yao kujilinda kutoka adui wa nje ( mvamizi) na adui wa ndani ( tyrant ).
Hapo sasa ndo utajua Hawa jamaa walishajipanga mda mrefu. Kiasa kwamba wanajeshi watembea kwa mguu mitaani wataona Cha mtema Kuni. Make kila raia anakujua kutumia silaha.
 
Hiki ndicho kitu Marekani anakipenda siku zote. Kutengeneza migogoro ya kivita duniani kote, ili wamiliki wa viwanda vya silaha wa Kimarekani wapate soko la kuuzia bidhaa zao.

Na wakati huo huo tenda za kuijenga upya hiyo nchi iliyo haribiwa na vita lazima yapewe makampuni ya Kimarekani!

Kiufupi tu Marekani ni Taifa la kijinga sana. Kamwe huwezi kuona vita inapiganwa nchini kwake! Yenyewe inapenda kuchochea vita kwenye nchi nyingine, halafu wakati mnauana, yenyewe inawauzia silaha na kuchukua yenda za ujenzi! Na kama kuna mafuta, inabeba kupeleka Marekani.

Yule Mchekeshaji Zelenysky anatumika pasipo yeye mwenyewe kujua.
Tate; hebu tupe opinions zako; yule mchekeshaji alitakiwa afanye nini ili kuepusha vita?
 
Hiki ndicho kitu Marekani anakipenda siku zote. Kutengeneza migogoro ya kivita duniani kote, ili wamiliki wa viwanda vya silaha wa Kimarekani wapate soko la kuuzia bidhaa zao.

Na wakati huo huo tenda za kuijenga upya hiyo nchi iliyo haribiwa na vita lazima yapewe makampuni ya Kimarekani!

Kiufupi tu Marekani ni Taifa la kijinga sana. Kamwe huwezi kuona vita inapiganwa nchini kwake! Yenyewe inapenda kuchochea vita kwenye nchi nyingine, halafu wakati mnauana, yenyewe inawauzia silaha na kuchukua yenda za ujenzi! Na kama kuna mafuta, inabeba kupeleka Marekani.

Yule Mchekeshaji Zelenysky anatumika pasipo yeye mwenyewe kujua.
Sio kwa Urusi! Hapo Marekani atatoa mikopo mingi kwa Ukraine ila akija kushtuka Ukraine yenyewe haitokuwepo tena.
Yani kwa kifupi Marekani atakula hasara kubwa itakayopelekea anguko lake
 
Mkuu, sera zilikwishatengenezwa miaka zaidi ya 20 sasa kuhusu kuifanya Russia iwe kainchi chenye kuwategemea wao NATO na Marekani.

Hiyo ya kusogea kidogokidogo pembezoni kwa Russia kutaka kuizunguka, kisha kuivamia na kuigawa mazima na baadae kupora rasilmali zake yabaki kuwa ndio sera pekee kwa sasa.

Hiyo ndo sababu Marekani na NATO wataendelea kusaidia silaha hadi hapo wanaaamini Russia itaanguka na itachukuliwa nao na Ukraine ndio awe mbadala wa Russia.

Tufahamu kuwa sasa hivi NATO na Marekani wamesema wazi kuwa maadui wao ni Russia na China hivyo lazima waongeze bajeti zao za ulinzi kwa ajili ya kukabiliana nao, ni vita ya kugombania maeneo yenye rasilimali na kuyamiliki kwa nguvu au "Hegemovy".

Lakini hapohapo kuna mambo mawili makubwa kuhusiana na vita hii ya Ukraine ambayo Zelenski anatumika.

Kwanza, ni makubaliano ya siri kati ya Marekani na NATO ambao viongozi wake wanakutana kuamua sera mbalimbali za dunia kwa siri huku wakificha ukweli halisi malengo ya walo nyuma yao ambao wana hisa katika rasilimali na uchumi wa dunia hii.

Pili, mzizi khasa wa vita hii ni lazima ueleweke baina yetu kwamba, huu ni mgawanyo wa dunia baina ya mataifa makubwa ambazo tangu mwaka 1991 USSR ilipoanguka wanataka kuizunguka Russia na kumuondoa raisi Putin na kuhodhi rasilimali za nchi hiyo bure kwa niaba ya hao watu ambao huitwa "finance capital".

Hawa watu wapo na ndo hupanga mipango ya dunia hii, ila safari hii wamekumbana na Vladmir Putin, jambo ambalo ni mtihani mkubwa kwa kujipa kazi ya kukabiliana na hawa jamaa.
 
Sio kwa Urusi! Hapo Marekani atatoa mikopo mingi kwa Ukraine ila akija kushtuka Ukraine yenyewe haitokuwepo tena.
Yani kwa kifupi Marekani atakula hasara kubwa itakayopelekea anguko lake
Upo huko Mapogoro na unaona hasara ambayo USA ataitapa huko Ukraine ila agents wa USA waliopo Kyiv na Kremlin bado hawajaiona.
 
Back
Top Bottom