Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

Duuu hizo data umetoa wapi sometimes jitahidi kusoma hata elimu ya watu wazima IPO usione aibu
 
T14 Armata pitia hapa ukipata muda.

Hizi M270 rocket system zipo kama vifaru huenda sio rahisi kukimbia na kujificha zikishashambulia kama HIMARS.
Hizi za UK ni sawa na HIMARS ila hizi zina roketi 12 badala ya 6 za HIMARS. Na zinaweza fyatua roketi zote 12 ndani ya sekunde 40. Pia wanajeshi wa Ukraine walishafundishwa kuzitumia nchini UK na vile ile nchi haichelewi kufanya maamuzi tofauti na ilivyo Ujerumani basi tutarajie muda wowote kuziona.

Sitarajii kama watatoa roketi kubwa za range ya 300km. I hope watatoa zile za 80km range. Sijafatilia zaidi
 
Wakati jana ni anniversary ya separatists kudondosha ndege ya Malaysia kwa BUK missile na kuua watu zaidi ya 200. Russia jana usiku imedondosha ndege yake Su-34 kwenye anga lake. Hii ni friendly fire, ndege huwa na IFF (identification of friend or foe) ambayo husaidia kuitambulisha kwa air defence systems za nyumbani ikiwa angani. IFF ikifeli ndio inatokea kama hivi, si jambo la ajabu kwenye vita.
Iran mwaka juzi sijui ilikuwa ndio walidondosha ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka mjini Tehran na kuua wote. Siku hiyo walikuwa wametoka kufyatua makombora kwenye kambi ya Marekani kwahiyo roho ilikuwa juu
 
Hizi lakini si kama vifaru tu, yaani rahisi kuzi-locate na kushambulia ?
 
Hizi lakini si kama vifaru tu, yaani rahisi kuzi-locate na kushambulia ?
Hata km lingekua na mfumo km wa gari kitendo cha kuwa na mashine kubwa linakua halina uwezo wa kuchanganya kwa haraka ili likimbie lazima lianze kwa kunyata mpaka lichanganye na ndio maana ni rahis kulilocate muda mchache tangu lishambulie
 

Ukraine’s ‘foreign legion’ struck by missiles – Russia​

Up to 250 foreign mercenaries were killed in the attack, the Ministry of Defense has claimed
 
Hizi lakini si kama vifaru tu, yaani rahisi kuzi-locate na kushambulia ?
Tracked armour huwa zinasaidia kupita kwenye njia ngumu kupitiwa na matairi ila zinakuwa na speed ndogo na maintenance kubwa na muda mwingi zaidi kufanya maintenance.

Speed ya tracked huwa ni kama 60kmh wakati wheeled huwa inafika hata 100kmh. Sio mbaya kama unavyodhani, wembe ni uleule
 
Mkuu, husipoteze muda ukijaribu kuelimisha watu kama hawa - ambao wanaonekana wazi wazi uelewa wao wa masulaya Geopolitics ni dismal kabisa!!

Hata hajiulizi inakuwaje viongozi wengi wa EU wanao jifanya kumkalia kooni Putin karibu wote wame bwaga manyanga na wengine wako mbioni ku-resign, hii inaleta picha gani - haya compressors za ku-pump gesi zilizo kuwa zimezuiliwa Canada kwa Shinikizo la US/Biden zimeachiliwa kimihujiza saa hizi zinafungwa kwenye pumps huko Urusi, haya juzi hapa Biden kaambiwa na Mfalme wa Saudia kwamba hasiwachagulie marafiki, baadae Saudia ikapeleka Meli kubwa kwenda kununua mafuta kutoka Urusi, sasa tuje kwenye sakata la Lithuania pamoja na ujeuri wa Kiongozi wa Taifa kuiwekea ngumu Urusi hisisafirishe mizigo kwa njia ya train kutoka/kwenda Kaliningrad kwa shinikizo la Biden, hivi sasa Lithuania imenywea-mizigo ya Russia inasafirishwa kama kawa,je,suala la maafisa wa jeshi la Ukraine kuwauzia Warusi silaha wanazopewa na nchi za magharibi mfano: French Ceaser Howitzers, HIMARS, Javelin etc.

Cha hatari zaidi ni hiki kitendo cha Zelensky kuwatimua kazi unceremoniously watu muhimu kwa usalama wa kwake mwenyewe na Taifa lake kiujumla - hii inadhilisha kwamba mambo hayamwendei vizuri Zelensky kadri siku zinavyo kwenda si ajabu akatoroka Nchi, au wanajeshi wake au body guards wakamtoa pumzi ili kunusuru nchi kabla haija haribiwa zaidi kwa vita ambavyo hawezi kushinda.
 
HIMARS uzisikie wapi wakati Russia imepunguza offensive. Subiri mapigano yaibuke ndio utajua zipo
Nani kukudanganya Russia imepunguza offensive mpaka muda huu wanajeshi wa urusi wamekaribia umbari wa kilometers 50kutoka jiji kuu la kharkiv Kumbuka Russia hana mipango ya kulichukua jiji hilo ila ilikuwa kama jibu kwa Ukraine

Urusi imebakisa umbari mchache mno kuingia mykolaiv kama Russia ikimalizana na doneskty basi kharkiv na mykolaiv ndio vituo vinavyo fata
 

Ukraine’s ‘foreign legion’ struck by missiles – Russia​

Up to 250 foreign mercenaries were killed in the attack, the Ministry of Defense has claimed

Source - Russia....
Hata sisi tumejifunza hili neno lenu nyie waarabu wa Bongo... "propaganda"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…