Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Akaweke supermaket tena kama alivyofanya zile howittzers ili mpewe topic ya kuzungumzia siku si nyingi.Unataka ujue ili ukatoe taarifa,hiz ni siri za jeshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akaweke supermaket tena kama alivyofanya zile howittzers ili mpewe topic ya kuzungumzia siku si nyingi.Unataka ujue ili ukatoe taarifa,hiz ni siri za jeshi
Gafla HIMERS ulizosema zimeharibiwa na Urusi zimerudi kazini?Leo asubuhi Ukraine ilimwaga mvua ya makombora ya HIMARS huko kherson yalitunguliwa mengi
Kwani nimesema zimepigwa zote bado special operation za kuzitafuta inaendeleaGafla HIMERS ulizosema zimeharibiwa na Urusi zimerudi kazini?
Russia kapunguza offensive sasa hivi anafanya holding her positions. Mashambulizi makali kwa infantry hamna sasa hiviNani kukudanganya Russia imepunguza offensive mpaka muda huu wanajeshi wa urusi wamekaribia umbari wa kilometers 50kutoka jiji kuu la kharkiv Kumbuka Russia hana mipango ya kulichukua jiji hilo ila ilikuwa kama jibu kwa Ukraine
Urusi imebakisa umbari mchache mno kuingia mykolaiv kama Russia ikimalizana na doneskty basi kharkiv na mykolaiv ndio vituo vinavyo fata
Ukraine inapendelea kufanya mashambulizi usiku. Jeshi la Urusi halina performance nzuri ikiwa usiku na night vision gears hawana za kutosha na zilivyo expensive zile wakati nyingi wanaagiza nje.Leo asubuhi Ukraine ilimwaga mvua ya makombora ya HIMARS huko kherson yalitunguliwa mengi
Hahahaha acha uongo Mkuu hizo HIMARS Ukraine hupendelea kuzitumia usiku na Jana unayosema Makombora yalitunguliwa ndo ghala lingine la silaha limelipuliwa.Leo asubuhi Ukraine ilimwaga mvua ya makombora ya HIMARS huko kherson yalitunguliwa mengi
Kwa kile kiwewe basi Iran akivamiwa na squadron 4 anapigwa mapemaWakati jana ni anniversary ya separatists kudondosha ndege ya Malaysia kwa BUK missile na kuua watu zaidi ya 200. Russia jana usiku imedondosha ndege yake Su-34 kwenye anga lake. Hii ni friendly fire, ndege huwa na IFF (identification of friend or foe) ambayo husaidia kuitambulisha kwa air defence systems za nyumbani ikiwa angani. IFF ikifeli ndio inatokea kama hivi, si jambo la ajabu kwenye vita.
Iran mwaka juzi sijui ilikuwa ndio walidondosha ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka mjini Tehran na kuua wote. Siku hiyo walikuwa wametoka kufyatua makombora kwenye kambi ya Marekani kwahiyo roho ilikuwa juu
Unawajibu watu wajinga wasiojielewa, waliowekeza dini mbele ya uhalisiaOne HIMARS MLRS is now under Russian control
Morogoro kaskazini taarifa yako hiyo hapo,Mpaka sasa hawajachapisha picha yoyote au kutoa evidence yoyote kwamba wameikamata!
Lakini swalii la kujiuliza,wameikamata vipi wakati the range of the HIMARS is by far away from the front lines?!
Au walinunua kutoka Washington moja Kwa moja?!
Hili suala huenda ni propaganda tu za Vita, sio rahisi Ukraine kuiuzia Urusi HIMARS au silaha zingine za magharibi huku Marekani ikibaki kimya.,suala la maafisa wa jeshi la Ukraine kuwauzia Warusi silaha wanazopewa na nchi za magharibi mfano: French Ceaser Howitzers, HIMARS, Javelin etc
Russia wanaagiza viona usiku kutoka kwa nchi gani?Ukraine inapendelea kufanya mashambulizi usiku. Jeshi la Urusi halina performance nzuri ikiwa usiku na night vision gears hawana za kutosha na zilivyo expensive zile wakati nyingi wanaagiza nje.
Mara nyingi sana HIMARS zinafanya kazi usiku kwa sababu hii. Jambo lingine ndio movements zinakuwa zimepungua kwahiyo wakishambulia command post wana probability ya kukuta watu wengi humo kuliko ikiwa mchana. Depots hizo muda wowote
Jamaa nilikuwa namheshimu ila kwa sasa hapana kwa kweli, yaani Ukraine akauiuzie HIMARS russia? Wakati kwa sehemu kubwa hii mitambo itakuwa inaendeshwa na westerns wenyewe.Hili suala huenda ni propaganda tu za Vita, sio rahisi Ukraine kuiuzia Urusi HIMARS au silaha zingine za magharibi huku Marekani ikibaki kimya.
T14 Armata
Mkuu,nikukumbushe kitu? Mnacho sahau ni kwamba Maafisa wengi wa vyeo vya juu kwenye jeshi la Ukraine wamesoma kwenye military academies zile zile walizo somea wanajeshi wa Urusi, hivyo wengi wao wanafahamiana kwa karibu kutokana ku-attend same colleges enzi za Soviet Union - hata Zelensky anajuwa kujieleza vizuri kwenye lugha ya Kirusi kuliko Kiukraine, alianza maisha mjini Moscow huko ndiko alikuwa ameajiliwa enzi za ujana wake.Hili suala huenda ni propaganda tu za Vita, sio rahisi Ukraine kuiuzia Urusi HIMARS au silaha zingine za magharibi huku Marekani ikibaki kimya.
T14 Armata
We ndo zuzu usojua loloteunaelewa unchoandika au unashabikia tu viinchi vya watu? Ukubwa wa eneo 17,000,000 Km za mraba? Vijana nendeni shule mnajidharaulisha.
Huyu ni wa Russian special force kavaa PSC-14 NVGRussia wanaagiza viona usiku kutoka kwa nchi gani?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Russia anapigana na HIMARS kwa maneno, mpaka sasa vitendo bado. Kwanza tuwaulize wale makamanda 50 wa Ukraine waliouwawa kwenye shambulizi ni kina nani. Humu wanatuletea porojo tu, Ukraine ikiua kamanda inaweka na picha yake na biography ikiwekezekana. Mkibisha mtaona rafiki zake wanapost picha za msiba na tunazipata.Hili suala huenda ni propaganda tu za Vita, sio rahisi Ukraine kuiuzia Urusi HIMARS au silaha zingine za magharibi huku Marekani ikibaki kimya.
T14 Armata
Unataka ujue ili ukatoe taarifa,hiz ni siri za jeshi