Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Duh!!,,kwa hiyo watengeneza ARvs lengo ni kuuza ili wapige hela au ni mradi,na je kama hivyo ndivyo, kwanini sisi afrika tusitengeneze dawa za kifua kikuuu tukamaliza hili tatizo??na tusiwe wategemezi wa hizo ARvs tangu awali!!!?nini tatizo letu ??
 
Hizi ndio siku za mwisho. Shika sana ulichonacho. Vijana walijiachia kwa ngono uzembe sana na hawakutaka kusikia cha nani wala nani. Makufuru yalisimama na watu wakatetea ushoga na usagaji...... vilio vitaziba masikio yetu... theruth itateketea. Mwenye sikio na asikie
 
Unaamini hakutakuwa na maambukizi mapya?
Yatakuwepo na wataagua watakufa na baadae miili yetu itatengeneza kinga bila kutegemea madawa,pia naamin huu ugonjwa sio kwamba waafrika wasingeweza kuuzui kabisa kama sio mzungu kuingilia mapema naamin tungeweza kupambana nao
 
📌KAMA UNAJUA WEWE NI DUNGADUNGA WEWE NI HARAMU JIWE YAANI WEWE JIWE TU NDO UNASAMEHE.

WEWE KAZI MBOVU KAZI SAFI TWENDE HUU NI WAKATI WA KUFUNGA KUNGONOKA ANGALAU MPAKA JUNI.

WATU WENGI WALIKUWA WANACHAPA ILALE ALAFU FRESH TU KWA HISANI YA ARV MAANA WATU WANAOTUMIA HIZO MBAGA WALIKUWA WANAMEZA DAWA VIZURI.

📌📌SASA THIS TIME, KWA HILI SEKESEKE LA TRUMP MAMBO NI 50/50 HAPO NI KUBET KAENI MKAO WA KIMASTER WAZEE WA KUCHOVYA MIXER MIX THE NYASH ACHENI HIZO.TRUMP BAADA YA KUMALIZANA NA REPORT ZA UKAGUZI HATABIRIKI ATACHUKUA HATUA GANI🙌🙌🙌🙌
 
Bora wafute kabisa misaada yote
Pamoja na umuhimu wake lakini vyama tawala Afrika walikuwa wakitumia pesa za misaada kujijenga wao kama chama na familia zao.
Ila waafrika ni kama matahira hivi.
Neno starehe humaanisha pombe na kujamiiana tu.
Wafe wagonjwa wote wa HIV tupate kizazi kipya
 
USAID ilikuwa inapunguzaje maambukizi?

Maambukizi yanatokana na mtu asiye na maambukizi kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizi bila kinga.

Sasa hapo USAID inahusikaje?
Humu namo kumbe Elimu bado😅😅😅
 
Kabisa na awaongezee baraka zote atoe kwa mwafrica apeleke kwa wazungu.
Tena ahakikishe wakati wa armegedonni achome mote waafrica wote abakishe wazungu tuu
sasa hapa wajuba mnaingiza siasa
 
Unazingatia hasara kwa USA , kwahyo huoni hasara kwetu kabisa?
 
Waache wafanye uzembe kwani wao watabaki salama,si wana watoto,wana ndugu ambapo humo na sisi kajambanani tumo,nina matumaini mipango inaendelea na soon itatangazwa.Hofu tu ni kwa zile nchi zenye vita ambpo hakuna uratibu wa kutosha...
duh! Kama hapo congo kwa waasi wa m23, sudan kwa wale majenerali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…