Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Mkuu, kwani huo UKIMWI upo kwa Ngedere?
 
hujawahi kuhudhuria semina za masuala ya ukimwi kisha ukaondoka na posho bahashani na yale makabrasha yaliyoandikwa msaada toka kwa watu wa marekani?
 
Aise ni muda wa watu kuwa makini san
 
miezi mitatu wanahakiki misaada yao ya USAID, huenda wataendelea kutoa misaada hiyo kama wataona kuna umuhimu
umeelewa swali mkuu,nimekuuliza una matumain gani baada ya USAID kusitisha hiyo misaada?
 
USAID ni moja tu ya agencies zinazopokea fedha kutoka PEPFAR, Kuna agency zingine kama CDC na DOD. Na serikali ya Marekani imeshatoa waiver ya kuendelea kusapoti huduma za matibabu ya VVU kwa siku 90.
 
THANK YOU KAMANDA.TATIZO MADA KAMA HIZI HAWAZILIFT KWENDA KWENYE HIGH LEVEL PAGE KWA SABABU HAZIGUSI MASIRAHI YA MAMODERATOR ILA UKISOMA MAHUDHUI YANALENGA KUTAHADHALISHA DECISION MAKERS ON IMPENDING DANGER LAKINI THREAD IMETOA HATUA TATU AT NATIONAL LEVEL ZA KUCHUKULIWA.

NI THREAD IMETARGET DECISION MAKERS NA NDIO MAANA LUGHA NA UWASILISHAJI WAKE UMEWEKWA KIPROFESSIONAL NA KWA LEVEL YA DECISION MAKERS ZAIDI
 
kamanda inaonekana umezisoma vizuri stop orders za Trump. Yaani we do not know the outcome of the assessment, at least ameshasema the status quo haitakuw the same. Ni bora kujiandaa na the worse situation kuliko kubweteka na kushtukizwa while it is is too late
 
USAID ni moja tu ya agencies zinazopokea fedha kutoka PEPFAR, Kuna agency zingine kama CDC na DOD. Na serikali ya Marekani imeshatoa waiver ya kuendelea kusapoti huduma za matibabu ya VVU kwa siku 90.
Uko sawa lakini umezisoma hizo stop orders za Trump vizuri, umefuatilia complains za Congress kuhusu kuzuia dawa za HIV/AIDS. Kama PEPFAR hisingeguswa unafikiri pangelikua na outcry ya level hii mpaka kusababisha kutolewa kwa waiver. Halafu kumbuka comprehensive HIV/AIDS management sio dawa tu, dawa ni sehemu ndogo sana ya matibabu sahihi. Fuatilia vizuri bro. Narudia this is a timing BOMB
 
tramp aseme tu USAID/PEPFAR itaendelea kusaidia magonjwa ila si miradi mingine aeleweke
Shida nin kwamba mlengwa hasa hafaidiki moja kwa moja pesa nyingi zinaishia kwenye semina mishahara minono kwa wafanyakazi na posho,mnufaika angekuwa anapata dawa kwa uhakika na kupelekewa hiduma mpaka kijijini,pesa nyingi ingetumika kufanya awareness kwa matamasha na kwenye vyombo vikubwa vya habari kama ilivyokuwa enzi zile..mbona ujumbe ulifika kwa haraka..hii.mambo ya kuzipa NGO wanakaa vyumbani wanajifungia ulwanapika data na kujilipa wao kuwa wamefanya awareness sio sawa..data zinapikwa mno ..uliza hata mtaani kwako kama waliwahi ona muelimishaji amepita kutoa elimu ya ukimwi..
 

Tunasema kama vile kuna sehemu tunawadai.

Kama wameondoka na hela zao, inabidi tujue kutunza na kutumia vizuri za kwetu wenyewe. Maana huwa tunajiibia halafu hizi hela ambazo wala hatuna haki nazo tunaanza kuzipigia kelele.

Kwangu mimi nasikitika sana sababu wamepunguza wafanyakazi kutoka elfu 10 mpaka karibu 200.

Ina maana watu hao wote na wanavyojua kiingereza wanakosa kazi? Hiko kiingereza watakipeleka wapi? It is very saddening
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ