Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Hakuna atakayefanya kosa kuzuia arvs. Maana hasara ya marekani ni kubwa kuliko afrika. Kuzuia kwa misaada ya ARVs ni kuizika AIDs Afrika. Huu ndo mwisho wa ukimwi. Wachague wao sasa. Wasitishe misaada wa kuusaidia ukimwi uendeleww kuishi ama wautelekeze ukimwi ufie huku afrika. Kumbuka ARVs ipo kwa kuunusuru ukimwi. Siyo kunusuru binadamu
Mkuu, kwani huo UKIMWI upo kwa Ngedere?
 
Elimu gani ambayo sisi hatuijui kuhusu maambukizi ya vvu leo inayotegemea pesa za USAID, dawa gani wanatoa za kuzuia maambukizi ya vvu, na chakula kipi kinazuia vvu?

Labda kama unawatetea watawala, hakuna pesa ya USAID inafanya hizo kazi unazosema wewe, labda uende wazara husika wakupe mgawanyo wa matumizi ya pesa za USAID utuletee upya hapa.
hujawahi kuhudhuria semina za masuala ya ukimwi kisha ukaondoka na posho bahashani na yale makabrasha yaliyoandikwa msaada toka kwa watu wa marekani?
 
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika la USAID, wale wenye maambukizI mapya wanagundulika mapema na wanapata vipimo na kuanza kutumia dawa bure kutoka kenye shirika la USAID, Wagonjwa wa HIV/AIDS wanapata cancelling na usaidizi wa lishe bora pamoja na njia za uzazi salama na za kujikinga kuambukiza wengine bure kutoka katika shirika la USAID. Condom za bei rahisi, virahinishi vyote vinapatika kwa bei subsdized kutoka shirika la USAID.

Sasa sayansi ya tiba inasema seroconvergence inakuwa kubwa mara zaidi ya hamsini (50-80%) mtu akiacha kutumia dawa za chronic illness mfano Kansa au za HIV/AIDS. Ebu tujikite kwenye HIV/AIDS; maana yake wale wadudu waliokuwa wamebakia kwenye sanctuary places wanaibuka kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu, sio tu kwenye kuzaliana bali kumutate na kushambulia sehemu zote muhimu za mwili, maini, figo,damu moyo, mapafu, ngozi kwa speed ya ajabu, Mara nyingi hawa wagonjwa hawachukui muda kufariki ni bora wasingeanza dawa, it is non stopable battle of new serocovergence.

Kibaya zaidi, mbali ya virulence potential ya hawa virus wa hawa wagonjwa kuwa kubwa bali infectivity potential yao ni balaa, hapo nyuma uliweza kujamiiana na mtu wa HIV mara zaidi ya 10 bila maambukizi kwa sababu alikuwa yuko kwenye tiba (undetectable viral load); viral load yake ilikuwa very low, na infectivity power ya virus ilikuwa almost negligible.Sasa tutegemee infection rate (incidence) ya HIV kupanda zaidi ya mara 50, unategemea nini kuhusu maambukizi mapya;kumbuka jamii yetu tunaendelea kula bata bila kinga kama kawa, hatujui hawa watu wako kwenye seroconvergence tena wengi wao wamenawili kuliko sisi kajamba nani kutokana na protein za kwenye dawa hizo. Nakuambia hatujawahi kuencounter kitu kama hiki tangia ugonjwa wa HIV ugundulike.

Sasa cha ajabu watunga sera wanasubili disaster itokee, vifo vipangane mahospitalini , new infection rate ifikie zaidi ya 30 % ina maana ratio iwe 1.3 kati ya wagonjwa na wazima, it will be too late my friend na ndipo tushtuke, nakuambia itakua too late. Juzi nilikuwa najiuliza hivi hawa wazungu walipangakwa makusudi yaani "tuwadekeze kwa dawa za bure hawa waafrika, then tu- stop ghafla bila wao kujiandaa, wapukutike na kuambukizana kwa kasi ya ajabu ,hapo tutakuwa tumefikia lengo letu la depopulizing afrika" . Kama ndivyo ilivyokuwa basi watakuwa wamefanikiwa kwa asilima zaidi ya 110%. Na kwa sababu sisi tunaendekeza ngono sana sana tena sana sana na hatuko serious kenye kujikinga na hatujui kuchukua hatua haraka za kulinda jamii yetu, mfano si unaona mpaka sasa ni hatua gani imechukuliwa zaidi ya maneno ya kisiasa.

Nilitegemea nini sasa kwa watunga sera wetu kwenye hili Janga la kitaifa?

1) Kwanza wangefunds na kutoa new emergence strategic plan ya upatikanaji wa dawa na vipimo vya HIV/AIDS kwa uhakika na urahisi kwa wagonjwa wote.

2) Pili nilitegemea wangefund na kutoa new emergence strategic plans za uwezeshaji wa upimaji wa HIV/AIDS kwa uhakika na uharaka.

3) Tatu, tena muhimu zaidi nilitegemea kwa sababu tajwa paragrahy ya 1 na 2 hapo juu kuhusu uwezekano wa maambukizi mapya ya kasi ya umeme tulitegemea watenge fedha na kutengeneza new emergence HIV/AIDS health education , health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging situation

Kwangu mimi hii ya emergence HIV/AIDS health education ,health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging unique situation should be the first priority na ingeanza kuanzia January 2025,it is an emergence because it touches the corner stone of public health initiaves (emergence preparedness & prevention is better than cure). Kwa nini nasema hivyo? nitakueleza? kaa mkao wa kula tu husiwe mbishi, kwani humu jamii forum kila mtu ana PhD ya kila fani, mimi sielewagi comments zetu, kumbuka hii ni sayansi ya public health & health management. Jamani situation tunayoenda kukabiliana nayo hahijawahi kutokea duniani kote ,watu wengi , nchi nyingi kustop ghafla dawa za HIV/AIDS (mass stoppage of medication) na kusababisha mass viral load multiplication, viral mutation na infectivity rate (incidence) kuongezeka. Hii inahitaji another approaches of health education and health promotion ikitarget hizo arms tatu unique zinazotokea baada ya mtu kuacha dawa. It should not be business as usual.

Itabidi turudi kule kama mwanzo kutumia multiple media (news letters, radios, TVs, community dilogies, targeted health education mostly to patients themselves na hawa ni muhimu kwani ndio yatakuwa mbomb ya kulipulia watu. SBS targetting ku-raise community education and awareness, hasa ya nini kimetokea na kinachotokea, nini kifanyike wakati wa sex na mtu aliyeacha dawa, nini kifanyike kwa aliyeacha dawa, nini kifanyike ukijikuta umejichanganya na mtu aliyeach dawa, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati unadeal na hawa watu walioacha dawa. Lakini provision ya public assurance, serikali yao inafanya nini kukabiliana na hili janga ili kutoleta mshtuko wa kijamii, ni bora upate mshtuko wa mtu mmoja mmoja na si mshtuko wa jamii.hiyo ni hatari. Je wewe unasemaje kuhusu hatari iliyo mbele yetu.toa maoni yako.....
Aise ni muda wa watu kuwa makini san
 
miezi mitatu wanahakiki misaada yao ya USAID, huenda wataendelea kutoa misaada hiyo kama wataona kuna umuhimu
umeelewa swali mkuu,nimekuuliza una matumain gani baada ya USAID kusitisha hiyo misaada?
 
USAID ni moja tu ya agencies zinazopokea fedha kutoka PEPFAR, Kuna agency zingine kama CDC na DOD. Na serikali ya Marekani imeshatoa waiver ya kuendelea kusapoti huduma za matibabu ya VVU kwa siku 90.
 
THE BEST THREAD EVER AT JAMII FORUM.. Kama Mods Cookie Moderator Paw tafadharini wekeni STICKY hii thread. Ni ya muhimu kuliko umuhimu wenyewe...

Kudoz mleta thread, Kudoz JF... Hapa tusijadili mada kwa upande wa CCM au CHADEMA au SIMBA na YANGA. Tujadili kwa mustakabali wa taifa letu la leo na kesho..
THANK YOU KAMANDA.TATIZO MADA KAMA HIZI HAWAZILIFT KWENDA KWENYE HIGH LEVEL PAGE KWA SABABU HAZIGUSI MASIRAHI YA MAMODERATOR ILA UKISOMA MAHUDHUI YANALENGA KUTAHADHALISHA DECISION MAKERS ON IMPENDING DANGER LAKINI THREAD IMETOA HATUA TATU AT NATIONAL LEVEL ZA KUCHUKULIWA.

NI THREAD IMETARGET DECISION MAKERS NA NDIO MAANA LUGHA NA UWASILISHAJI WAKE UMEWEKWA KIPROFESSIONAL NA KWA LEVEL YA DECISION MAKERS ZAIDI
 
📌KAMA UNAJUA WEWE NI DUNGADUNGA WEWE NI HARAMU JIWE YAANI WEWE JIWE TU NDO UNASAMEHE.

WEWE KAZI MBOVU KAZI SAFI TWENDE HUU NI WAKATI WA KUFUNGA KUNGONOKA ANGALAU MPAKA JUNI.

WATU WENGI WALIKUWA WANACHAPA ILALE ALAFU FRESH TU KWA HISANI YA ARV MAANA WATU WANAOTUMIA HIZO MBAGA WALIKUWA WANAMEZA DAWA VIZURI.

📌📌SASA THIS TIME, KWA HILI SEKESEKE LA TRUMP MAMBO NI 50/50 HAPO NI KUBET KAENI MKAO WA KIMASTER WAZEE WA KUCHOVYA MIXER MIX THE NYASH ACHENI HIZO.TRUMP BAADA YA KUMALIZANA NA REPORT ZA UKAGUZI HATABIRIKI ATACHUKUA HATUA GANI🙌🙌🙌🙌
kamanda inaonekana umezisoma vizuri stop orders za Trump. Yaani we do not know the outcome of the assessment, at least ameshasema the status quo haitakuw the same. Ni bora kujiandaa na the worse situation kuliko kubweteka na kushtukizwa while it is is too late
 
USAID ni moja tu ya agencies zinazopokea fedha kutoka PEPFAR, Kuna agency zingine kama CDC na DOD. Na serikali ya Marekani imeshatoa waiver ya kuendelea kusapoti huduma za matibabu ya VVU kwa siku 90.
Uko sawa lakini umezisoma hizo stop orders za Trump vizuri, umefuatilia complains za Congress kuhusu kuzuia dawa za HIV/AIDS. Kama PEPFAR hisingeguswa unafikiri pangelikua na outcry ya level hii mpaka kusababisha kutolewa kwa waiver. Halafu kumbuka comprehensive HIV/AIDS management sio dawa tu, dawa ni sehemu ndogo sana ya matibabu sahihi. Fuatilia vizuri bro. Narudia this is a timing BOMB
 
tramp aseme tu USAID/PEPFAR itaendelea kusaidia magonjwa ila si miradi mingine aeleweke
Shida nin kwamba mlengwa hasa hafaidiki moja kwa moja pesa nyingi zinaishia kwenye semina mishahara minono kwa wafanyakazi na posho,mnufaika angekuwa anapata dawa kwa uhakika na kupelekewa hiduma mpaka kijijini,pesa nyingi ingetumika kufanya awareness kwa matamasha na kwenye vyombo vikubwa vya habari kama ilivyokuwa enzi zile..mbona ujumbe ulifika kwa haraka..hii.mambo ya kuzipa NGO wanakaa vyumbani wanajifungia ulwanapika data na kujilipa wao kuwa wamefanya awareness sio sawa..data zinapikwa mno ..uliza hata mtaani kwako kama waliwahi ona muelimishaji amepita kutoa elimu ya ukimwi..
 
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika la USAID, wale wenye maambukizI mapya wanagundulika mapema na wanapata vipimo na kuanza kutumia dawa bure kutoka kenye shirika la USAID, Wagonjwa wa HIV/AIDS wanapata cancelling na usaidizi wa lishe bora pamoja na njia za uzazi salama na za kujikinga kuambukiza wengine bure kutoka katika shirika la USAID. Condom za bei rahisi, virahinishi vyote vinapatika kwa bei subsdized kutoka shirika la USAID.

Sasa sayansi ya tiba inasema seroconvergence inakuwa kubwa mara zaidi ya hamsini (50-80%) mtu akiacha kutumia dawa za chronic illness mfano Kansa au za HIV/AIDS. Ebu tujikite kwenye HIV/AIDS; maana yake wale wadudu waliokuwa wamebakia kwenye sanctuary places wanaibuka kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu, sio tu kwenye kuzaliana bali kumutate na kushambulia sehemu zote muhimu za mwili, maini, figo,damu moyo, mapafu, ngozi kwa speed ya ajabu, Mara nyingi hawa wagonjwa hawachukui muda kufariki ni bora wasingeanza dawa, it is non stopable battle of new serocovergence.

Kibaya zaidi, mbali ya virulence potential ya hawa virus wa hawa wagonjwa kuwa kubwa bali infectivity potential yao ni balaa, hapo nyuma uliweza kujamiiana na mtu wa HIV mara zaidi ya 10 bila maambukizi kwa sababu alikuwa yuko kwenye tiba (undetectable viral load); viral load yake ilikuwa very low, na infectivity power ya virus ilikuwa almost negligible.Sasa tutegemee infection rate (incidence) ya HIV kupanda zaidi ya mara 50, unategemea nini kuhusu maambukizi mapya;kumbuka jamii yetu tunaendelea kula bata bila kinga kama kawa, hatujui hawa watu wako kwenye seroconvergence tena wengi wao wamenawili kuliko sisi kajamba nani kutokana na protein za kwenye dawa hizo. Nakuambia hatujawahi kuencounter kitu kama hiki tangia ugonjwa wa HIV ugundulike.

Sasa cha ajabu watunga sera wanasubili disaster itokee, vifo vipangane mahospitalini , new infection rate ifikie zaidi ya 30 % ina maana ratio iwe 1.3 kati ya wagonjwa na wazima, it will be too late my friend na ndipo tushtuke, nakuambia itakua too late. Juzi nilikuwa najiuliza hivi hawa wazungu walipangakwa makusudi yaani "tuwadekeze kwa dawa za bure hawa waafrika, then tu- stop ghafla bila wao kujiandaa, wapukutike na kuambukizana kwa kasi ya ajabu ,hapo tutakuwa tumefikia lengo letu la depopulizing afrika" . Kama ndivyo ilivyokuwa basi watakuwa wamefanikiwa kwa asilima zaidi ya 110%. Na kwa sababu sisi tunaendekeza ngono sana sana tena sana sana na hatuko serious kenye kujikinga na hatujui kuchukua hatua haraka za kulinda jamii yetu, mfano si unaona mpaka sasa ni hatua gani imechukuliwa zaidi ya maneno ya kisiasa.

Nilitegemea nini sasa kwa watunga sera wetu kwenye hili Janga la kitaifa?

1) Kwanza wangefunds na kutoa new emergence strategic plan ya upatikanaji wa dawa na vipimo vya HIV/AIDS kwa uhakika na urahisi kwa wagonjwa wote.

2) Pili nilitegemea wangefund na kutoa new emergence strategic plans za uwezeshaji wa upimaji wa HIV/AIDS kwa uhakika na uharaka.

3) Tatu, tena muhimu zaidi nilitegemea kwa sababu tajwa paragrahy ya 1 na 2 hapo juu kuhusu uwezekano wa maambukizi mapya ya kasi ya umeme tulitegemea watenge fedha na kutengeneza new emergence HIV/AIDS health education , health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging situation

Kwangu mimi hii ya emergence HIV/AIDS health education ,health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging unique situation should be the first priority na ingeanza kuanzia January 2025,it is an emergence because it touches the corner stone of public health initiaves (emergence preparedness & prevention ). Kwa nini nasema hivyo? nitakueleza? kaa mkao wa kula tu husiwe mbishi, kwani humu jamii forum kila mtu ana PhD ya kila fani, mimi sielewagi comments zetu, kumbuka hii ni sayansi ya public health & health management. Jamani situation tunayoenda kukabiliana nayo hahijawahi kutokea duniani kote ,watu wengi , nchi nyingi kustop ghafla dawa za HIV/AIDS (mass stoppage of medication) na kusababisha mass viral load multiplication, viral mutation na infectivity rate (incidence) kuongezeka. Hii inahitaji another approaches of health education and health promotion ikitarget hizo arms tatu unique zinazotokea baada ya mtu kuacha dawa. It should not be business as usual.

Itabidi turudi kwenye drawing board, tuache mipango ya ku-copy and ku-paste kwani hii ni unique situation has never happened in the past kwenye upande wa HIV/AIDS. Turudi kule kama mwanzo kutumia multiple media (news letters, radios, TVs, community dilogies, targeted health education mostly to patients themselves na hawa ni muhimu kwani ndio yatakuwa mabomb ya kulipulia watu. SOCIAL BEHAVIOUR CHANGES approaches targetting ku-raise community education and awareness, hasa ya nini kimetokea na kinachotokea, nini kifanyike wakati wa sex na mtu aliyeacha dawa, nini kifanyike kwa aliyeacha dawa, nini kifanyike ukijikuta umejichanganya na mtu aliyeach dawa, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati unadeal na hawa watu walioacha dawa. Lakini provision ya public assurance, serikali yao inafanya nini kukabiliana na hili janga ili kutoleta mshtuko wa kijamii, ni bora upate mshtuko wa mtu mmoja mmoja na si mshtuko wa jamii.hiyo ni hatari. Je wewe unasemaje kuhusu hatari iliyo mbele yetu.toa maoni yako.....

Tunasema kama vile kuna sehemu tunawadai.

Kama wameondoka na hela zao, inabidi tujue kutunza na kutumia vizuri za kwetu wenyewe. Maana huwa tunajiibia halafu hizi hela ambazo wala hatuna haki nazo tunaanza kuzipigia kelele.

Kwangu mimi nasikitika sana sababu wamepunguza wafanyakazi kutoka elfu 10 mpaka karibu 200.

Ina maana watu hao wote na wanavyojua kiingereza wanakosa kazi? Hiko kiingereza watakipeleka wapi? It is very saddening
 
Back
Top Bottom