Wakati wa Kabudi kupumzishwa ulishafika, Rasi Samia amsaidie tu

Eti kuogofya wana nchi.sema sisi mafisadi tuliku tuna ogopa sana hapo.tuta kuelewa sawa kenge
 
Duh umejua kumsaigia kunguni mzee
Hakuna anaemsagia kunguni Kabudi bali ukweli kuwa huyu Profesa wa jalalani ndio alikuwa sura kamili ya utawala wa Jiwe!! Mama Samia ingawa anasema anaendeleza yale ya Magufuli wengine tunaona kuwa sio ukweli bali anajenga legacy yake!! Ili afanikiwe kujenga legacy yake ni lazima awapumzishe wakiwa Kabudi na Lukuvi na wengine wengi ambao ni sura ya utawala wa mabavu wa JIWE!!

Ameanza kuwapumzisha wengine kama wakina Kalemani na yule mwingine alikuwa waziri wa uchukuzi lakini kama asemavyo MAMA mwenyewe "Kazi iendelee" kujenga safu ya watendaji wenye busara ambao hawakuokotwa jalalani!!!
 

Ila unakuwa mchoyo wa fadhila kutokutambua mabadiliko kwenye mavazi yake husuani suti.

Naona safari hii ananunua suti saizi yake. Enzi za mheshimiwa β€˜mungu’ mzee wa watu alikuwa anavaa suti za watu wawili peke yake.
 
Ukisikia mtu ni Prof usifikiri haraka haraka kuwa ana akili. Subiri kwanza aongee. Asilimia zaidi ya 50 ya maprofesa wabongo ni vilaza wakubwa.

Kuna maprof kama Shivji au Janabi unajua kuwa kweli ni maprof. Lakini Kabudi au Lipumba! Walikariri tu shule.
 
Hujui chochote kaa kimya nyie ndo vi.laza mnaotuharibia lugha! Kutunzwa ni kuhifadhi au kuweka kitu mahali! Kutuzwa ni kupewa tuzo! Elimu zenu za shule za kata zimekuwa bomu kwa Nchi hii!
Nyie ndo wale wa " bizaa", mirasi, laisi, nizamu nk
Wanatia sana hasila.
 
Prof. Palamagamba Kabudi anashangaza pamoja ya kuwa anajaribu kuitangaza lugha yetu adhimu, hajui kuwa ktk shughuli za kijamii watu hutuza! Na hii ni sehemu ya kuonesha kujali na kupongeza wala siyo vinginevyo.

Sasa yeye Profesa hili tendo la kutuza kuliona ni kutupa inaleta mashaka kwa balozi wetu huyu maalum wa kueneza lugha ya Kiswahili ktk nchi zote za jumuiya ya SADC .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…