Mkuu;
Kwani nikijipa moyo wewe unaumia?
Nadhani umesoma tu heading na kutoa maoni kama mlivyo ''makamanda''!
Mmarekani asiwaogope Libya na Iraq na nchi zingine yaani atuogope sisi kwa lipi.Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Yaani hawa jamaa wanafurahisha sana!
Baada ya muda hizi kelele hatutazisikia tena mpaka baada ya uchaguzi mkuu 2025
Mwenzio bado anatembea na Lowassa mpaka leo.Kwani kuna habari ya kudumu, umeona watu wanaendelea kumuongelea Kikwete, au kombe la Dunia lililopita? Kila jambo hujadiliwa kwa muda wake, na kutoachwa kujadiliwa sio kupuuzwa au kuridhika, bali hiyo ndio nature ya binadamu.
Mimi sio ICC prosecutor au mjumbe wa tume ya haki za binadamu.Kwa hiyo unaamini haki za binadamu katika Uchaguzi huu zimekiukwa kuliko 2001 au Uchaguzi wa kenya wa 2017?
Tulizana sindao ikuingie,Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.
Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Mkuu;
Ningependa nikujibu kwa undani hoja zako lakini naogopa nikifanya hivyo nitakuwa nimetoka nje ya mada yangu!
Hoja zako zimejaa nadharia kuliko uhalisia!
Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Aiseee hili tatizo ni kubwa namna hii kumbe!?Unataka nichukue masaa mangapi kusoma unavyojiliwaza kama mtoto mdogo?!
Ukishajua fulani hatofautiani na jiwe, huna sababu ya kumsoma, siku zote anawaza vile vile.
Ungemalizia sentesi yako kwa kuandika, ''bali hiyo ni nature ya binadamu WASIOJITAMBUA au WANAOPOTEZA MUDA''
Ni wapi nimemfananisha!maelezo mengi kiasi hicho yana tija gani zaidi ya uwoga, usimfananishe lissu na yule babu..
Ndio maana nimeweka viambatanisho kama nguvu ya hoja ili ujue kuwa hakuna kesi huko ICCMimi sio ICC prosecutor au mjumbe wa tume ya haki za binadamu.
Hana data zozote bali ana makelele ya kijinga!Tulizana sindao ikuingie,
Kama una data yoyote weka hapa pia ulete data ya kuonyesha nchi gani ilishitakiwa kwa ujinga wa waharifu kumi hao kwa hiyo mahakama ya ICC ikaendesha kesi?
Wanachofanya ni kujaribu kunitoa nje ya mada!Hoja hujibiwa kwa hoja ninachokiona hapa badala ya hoja kujibiwa imegeuzwa mipasho
Mkuu;Kuna wakati tulikuwa tunajadili sana ripoti ya makinikia hapa jukwaani na nchini, ripoti ile ikafanyiwa kazi hadi na TRA ikakuta tunawadai Barrick $192b! Mbona kila siku huanzishi uzi kujadili ule uhuni ili tuone kipimo chako cha uelewa?
Mkuu;
Bado unajaribu kunitoa nje ya mada yangu!