Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

Nampongeza kwa Utumishi wake, amejenga majengo mengi ya Mahakama ila Mwenye any landmark Case with its Judgement or with of full bench sitting together, I read his books on the Law of Evidence Act at University, but I have not yet crossed his pen to any relevant Judgement setting a Present for other Jurists...

Samatta is well known for his Judgement on interpretation of Constitution or the case of Mwl Paul John Mhozya v.AG no.1 of 1996 TLR 130 HCT page 133when he said.......the notion =,apparently harboured by some people in this country, that the President is above the law is subversive of the Constitution and the laws.All Governmrnt leaders,including the President, are like humble citizens,bound to comply with the laws ofthis country.

The maxim 'the King can do no wrong ' has no place in our law even if the word President is subsituted for the word King' Everyone and every institution or organization in this country is enjoined to pay respectto the principle of supremacy of the Law,see article 26(1) of the constitution.....Samatta 1994

Mwenye Judgement ya Juma kama aiweke humu isomwe na watu wote
 
Kwa kweli hakuna cha kujivunia kwa huyu jaji nadhani naye hakuwa na cha kufanya maana mteuaji wake ambaye sasa amelala usingizi wa mauti alimtisha kwanza kwa kutomuidhinisha awe jaji mkuu kwa kipindi fulani awe kaimu ili kumpa maelekezo kama akiyakubali ndiyo ampromote na kwa kuwa wanadamu tunapenda madaraka na pesa hakuwa na namna hata kama alikuwa anaamini tofauti

Ikabidi akazane tu na majengo na teknohama maana ndiyo yalikuwa mahubiri yake tu kwenye haki anamaliza na sifuri
 

Hana chochote cha kudhibitisha kwako, udhaifu wa mahakama na Uduni wa katiba yetu ulikuwa wazi kipindi chote cha utawala wa kidhalimu wa Magufuli.
 
Huyu Judge ni mmoja wa ma judge wa hovyo kabisa kuwahi kutokea hapa nchini!
Hana cha kujivunia ktk utawala wake zaidi ya aibu aliyoiacha nyuma yake na hastahili kabisa kupewa heshima ktk jamii ya Tz.
 
Hana chochote cha kudhibitisha kwako,
Niliwahi kushauri humu, apart from whistleblowing, tusituhumu jambo lolote bila ushahidi, ili tusichafue bure watu!.
udhaifu wa mahakama na Uduni wa katiba yetu ulikuwa wazi kipindi chote cha utawala wa Magufuli.
Kama udhaifu na uduni wa katiba yetu ulikuwepo wakati wote, kosa la Magufuli ni nini?. Kwani ndie aliyesababisha katiba duni?.
utawala wa kidhalimu wa Magufuli.
Ni lini tutaacha kumsema vibaya marehemu?. Lini tutamuacha Magufuli apumzike kwa amani?. Jee wajua saw hizi yuko peponi kwa baba yake?.
P
 
Profesa Ibrahim Hamis Juma anastaafu mwaka huu, 2023. Jaji Mkuu alipata mamlaka hayo kipindi cha awamu ya tano, na kimsingi, ilikuwa ni mahala pa yeye kutenda alichohubiri madarasani kwa maisha yake yote ya kitaaluma kuhusu mgawanyo wa madaraka.
 
Apumzike kwa Aman atakapo pumzika mamajukumu
 
Sasa kwani pamoja na kuwa huyo jiwe hayupo, huko mahakamani nini kimebadilika?
 
WACHA AKAPUMZIKE KTK AWAMU ambazo MAHAKAMA ZILITUMIKA VIBAYA NI AWAMU ya Huyu PROF. Mahakama zilikuwa zinaelekezwa cha KUFANYA
 

Hawa wengine mnawaonea tu

Itoshe kusema kama magu alikuwa na madhaifu basi ni serikali yote ya awamu ya tano

Na sio mnachagua mara huyu mara huyu sio sawa

85% ya watendaji wa serikali ya awamu ya tano bado wapo serikalini mpaka leo

Bado wanakula pesa kama kawaida,

Sisi tunaumiza vidole kubishana jf
 

Viongozi karibia wote waliona udhaifu wa katiba yetu, lakini kwa sehemu kubwa walikuwa na busara ambayo Magufuli hakuwa nayo. Hii ndio sababu aliishia kuinajisi Mihimili ya nchi. Ww hata ukipewa ushahidi utafanya nini. Kwa mfano hivi sasa mama Samia kasema fedha za plea bargaining zilifunguliwa account China, ww kama mwanasheria utachukua hatua gani?
 
Hakuna Jiwe lililokuwa na jiwe,litabaki juu ya jiwe bila kuinuliwa
 
Kwa jinsi uoivyoandika hapa, nakushauri uachane na masomo ya sheria chuo kikuu, unapoteza Hela za mzazi wako na Serikali.
 
Hakuna Jiwe lililokuwa na jiwe,litabaki juu ya jiwe bila kuinuliwa

Huyo biswalo kapewa ujaji na mama samia

Kama anajua alikuwa na makandokando ya wizi why kampa ujaji?

Si angempiga chini tu
 
Huyo biswalo kapewa ujaji na mama samia

Kama anajua alikuwa na makandokando ya wizi why kampa ujaji?

Si angempiga chini tu
Kula mtori, nyama ziko chini
 
Hivi mbachokitafuta ni nini nchi hii mpaka sasa?

Mauaji ya kimbari au watu waliowaweka kijiweni wauwawe au nini??

Kila siku nyinyi, ni kuendekeza visasi tuuu!

Hivi mnajua kwamba kama likitiuka, hata hizo simu mnatumia kuandika ujinga wenu hamtapata nafasi ya kubofya tena!

Halafu mnasahau kwamba kila uongozi una ukomo?

Kwamba iko siku watarudi wengine, nao wakaamua kudeal na nyinyi itakuwaje nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…