Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

You are out of your depth my friend, best place for you is Kenya yenye tumehuru. Judges don't grow on trees, Professors even less so. It's a pity siyo field yako but Professor Juma has made incisive epoch-making judgments in the field of mercantile low. Wawekezaji walikuwa wanachezea Tanzania, wanatoa dividends kwao huku hata kodi hawalipi wakudai ni loss making.

Hii inahitaji uwe na cutting edge ya law na the workings of financial markets and international business. You should feel ashamed, TRA wamemshukuru na kumshukuru, na Watanzania wote wazalendo kwa Nji yao hawatomsahau. Afadhali iseme astaghafirullah! Nenda zako Kenya ukakae na wenziyo mtafute tumehuru.
 
Wewe ni mwanahabari. Nilitarajia usingeikosa hotuba ile ya CJ. Haikuwa siri, ilikuwa hotuba ya wazi wakati wa uapishwaji wa mawakili. Sikumbuki tarehe, lakini vyombo vya habari vilitangaza, na humu JF watu waliijadili kauli ile.

Ushiriki wake kwenye vikao vya siri vya chama, siwezi kuweka hapa ushahidi kwa sababu itakuwa ni kumwanika mtoa habari. Lakini nina uhakika wa 100% kwa sababu mtoa habari alikuwa ni mmoja wa wahudhuriaji wa kile kikao. Kikao kimojawapo kilikuwa na ajenda kuu ya amna ya kumwondoa Assad, japo baadaye alijifanya ni sympathizer.

Lakini ni ukweli pia huyu bwana alitendewa kitendo ambacho hakuna mwingine aliwahi kutendewa kwenye nafasi hiyo.

Alipewa uteuzi wa kukaimu bila ya kuambiwa sababu. Lakini aliambiwa kuwa uteuzi wake ungethibitishwa baada ya mteuzi wake kuridhishwa kwa 100%, anaendana na agenda zake. Na agenda kubwa aliambiwa. Nadhani ni kwa sababu ya kukipenda cheo, ikambidi afanye kama mteuzi wake anavyotaka. Alipomfurahisha, ukaimu wake ukathibitishwa kuwa uteuzi kamili.

Kipindi chake chote, mahakama ikawa tu kama idara ya ofisi ya Rais.
 
Unamlaumu bure Professor Juma. Muda wa kazi wa Professor Assad ulikuwa umekwisha. CAG ni ajira tu, nzuri na muhimu lakini ni ajira tu. Siyo muhimili. Assad alisahau miiko ya Wahasibu kutimbadmouth Client wako, alijitakia mwenyewe. La Mbowe ni bahati kubwa (kwa Mbowe), angenyongwa. Mtu wa tigopesa alithibitisha mbowe kawalipa makomandoo. Afande Urio katoa ishahidivl ilikuwa waje kumuua ole Sabaya na kuleta taharuki nchini kwa kulipua sheli za Temeke na Oysterbay. Ingekuwa siyo Kamanda Jumanne na Afande Kingai kuwakamata makomando wakinywa mbege na machangudoa, wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa na aliyewatuma angenyingwa. Ni msahama tu wa Mama ndiyo umemwokoa mbowe na magaidi wenziye kumbuka Judge alikuwa ametoa initial ruling ya CASE TO ANSWER. Hii yote inamhusuje Professor Juma hadi unamtukana nayo bila utafiti. Hayo msjengo unsysona majengo kwa sababu hijui tulikotoka. Njii hii tulishinda vita vya Kagera kwa kuongozwa na Police Marines kuvuka myo Kagera. Nenda kaine nyumba za Polisi wakati huo linganisha na leo. Angalia mahakama zilivyokuwa zamani li ganisha na leo. Wewe ni Kafiri, asiyeshukuru ni kafiri.
 

Crap.

Hata kama siyo mwanasheria au huna upeo mkubwa, unashindwa hata kusikia tu? Hata kuandika tu sentensi ya Kiswahili iliyonyooka, ni tatizo. Sijui shida ni elimu duni au uwezo wa kuelewa!!

Hukumu ya mahakama kuu juu ya kesi aliyofungua Zito juu ya ukiukwaji wa sheria katika kumwondoa Assad kwenye nafasi aliyokuwa akiishikilia wakati anaondolewa, inasemaje? Maana yawezekana tukawa tunabishana na watu ambao pengine kwa bahati mbaya wana ulemavu wa kutosikia au kutokumbuka!
 
Umeandika takataka tu hapa za kutishia watu wewe MATAGA mwenye roho nyeusi kama chungu
 
Matajiri wawili waligombana hadharani. Mmoja anamwomba mwenzie amfanyie hisani amtoe kwenye mkataba, mwenzie kakomaa anamuambia fuata masharti ya kutoka kwenye mkataba.

Kwa sababu wale matajiri wawili wote bahati mbaya hawana upeo mzuri wa civic education, or any education period, walikuwa katika mabishano yao wanatishiana nani anamjua nani serikalini, sio nani anajua mahakama ziko mtaa gani na anajuana na wanasheria wangapi.

Basi kweli bana, mmoja akashuka uwanja wa ndege D'Salaam amevaa makoti mazito ya baridi la Antarctica, akachukua maiki akalihutubia taifa, bila aibu akasema kesi imeamuliwa na Rais kwa simu kwa waziri mwenye dhamana ya biashara zao na vyombo vya dola idara ya customs wanaodhibiti binadamu kutoka na kuingia nchini. Hukumu ilisema mmoja hatatoka nchi hii milele mpaka amuachie mwenzake atoke mkatabani.

Kama mdau wa Sheria moyoni nikaona hii ni aibu kwa Jaji Juma na mahakama zake. Kama luminaries wenye nguvu kuliko wote nchini hawawezi kupata haki mahakamani, wanazikimbia hawataki kuzisikia, sisi tusio na namba ya simu ya Rais tutazipata wapi ?????
 
I don't believe this!, thibitisha
Kitendo cha aliyekuwa CJ Augustino Ramadhani kugombea Urais kwenye mchujo wa Ccm muda mfupi tu baada ya kustaafu inathibitisha pasipo na shaka yoyote kwamba Maji Augustino Ramadhani alikuwa ni kama mzuri wa Ccm na alitudhihirishia hilo Kwa vitendo.

Ni Kwa vile tu Wabongo hawana kawaida ya kukomalia sensitive issues na kujikita kwenye mambo mepesi kama ya Dr Mwaka na wake zake, lakini hicho kitendo kulikuwa ni aibu kubwa Kwa mahakama na ndio sababu hata kwenye court of appeal ilipokaa full bench kesi ya mgombea binafsi ni Augustino Ramadhani aliyetumika kuipa favour Ccm na serikali yake ambao ndio hawataki kabisa kusikia swala la mgombea binafsi maana lina madhara makubwa Kwa Ccm.
 
Huyu hayupo salama, kuna siku tutamburuza mahakamani kujitu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi ya umma.
 
Rubbish.
 
Huyo biswalo kapewa ujaji na mama samia

Kama anajua alikuwa na makandokando ya wizi why kampa ujaji?

Si angempiga chini tu
Kuna watu ubongo wenu una kaswende, unapomuondoa DPP unampa Ujaji iko hivyo.

Na DPP mpya alipoingia ofisini akaagizwa na mama watu wote walioporwa pesa zao warudishiwe, ndio DPP mpya alipoanza kazi ya kuzitrace pesa ili walioporwa warudishiwe pesa zao ndio anakuja kugunduwa huu ujambazi wa Magufuli na majizi wenzake kina Biswalo kufunguwa offshore account China.

Umeelewa wewe tutusa?
 
Tusimlaum JUMA professor, Jiwe alielekea kumtisha hata MUNGU
 
Umeandika nini wewe! [emoji38][emoji38][emoji38]
 

Ww ndio kilaza ambae hujui hata mfumo ukoje

Unaongea story za vijiweni tu

Maamuzi ya kumpa ujaji ni ya rais kama angeamua asingempa

Mbona bashiru katoka kuwa katibu mkuu kiongozi mpaka Mbunge wa kawaida?

Mbona hakumpa ubalozi?


Poyoyo ww
 
Ww ndio kilaza ambae hujui hata mfumo ukoje

Unaongea story za vijiweni tu

Maamuzi ya kumpa ujaji ni ya rais kama angeamua asingempa

Mbona bashiru katoka kuwa katibu mkuu kiongozi mpaka Mbunge wa kawaida?

Mbona hakumpa ubalozi?


Poyoyo ww
Uteuzi wa Bashiru ni batili from first place, hujui lolote wewe zezeta.

Yule chizi wa Chato wala hakufuata utaratibu wa kumteuwa Katibu mkuu kiongozi.

Bashiru ni msomi PhD lakini hana sifa za post hiyo, hata mama kumuondowa na kumpa ubunge ni huruma yake tu.
 
Unatuchosha tu
 
Mbona umekuja kwa jazba hivi?

Ukiona mtu anakimbilia kutukana ujue uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…