Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

Ovyo sn huyu Jaji
 
Huu muhimili wa mahakama ulikuwa compromised kabisa enzi za awamu ya 5.

Nadhani katiba mpya ni muhimu ili kuuokoa huu muhimili wenye Uhuru bandia tu.

econonist JokaKuu Pascal Mayalla
Tangu niwe na akili, kipindi cha huyu jamaa likuwa tatizo. Ukijulikana wewe ni mpinzani una ozea jela, hata kwa kesi zenye dhamana.
Mhimili wa mahakama iligeuka kuwa mhimili wa kupoka haki za watu. Muache aende, Mungu ata pambana nae kule mhimili alio kuwa ana usimamia uliko poka haki za watu.
Mfano kesi ya Sugu, kesi ya kubumba ya Mbowe, kesi ya Lema etc...
 
Jiwe
Ndugai
Ibrahim Juma
Biswalo Mganga

Hawa moto wao kuzimu umewashwa tayari, madhalimu wakubwa hawa
 
Tukubali hakuna hakimu/haki mtanzania anayeweza kutoa haki kwa uadilifu mbele ya pesa
 
Umempa ukweli mchungu kumeza!
 
Nchi hii salute yangu ni moja tu kwa wote waliowahi kuwa CJ,nayo ni kwa CJ Nyalali, huyu CJ he walk the talk, na mazingira kipindi kile yalikua magumu sana,mfumo wa Chama kimoja cha kisiasa, ila CJ Nyalali alihakikisha anasimamia haki na mahakama zili EARN RESPECT, huyu wa sasa ndio hopeless kabisa mlilia tumbo mkubwa, please go as sooner as possible
 
Jaji mkuu wa kwanza kuwa na kinga yakutoshtakiwa.ili halo mhimili anaoongoza ukiwategemeo la wananchi kupata haki.kinga ya Nini?!
 
Jaji mkuu +Buswalo +Bashite +Ndungai +Sabaya =Iddy Amin wa Chato
 
Wapinzani wengi walikuwa wanakutana na kisingizio cha "Hakimu/jaji yupo likizo"
 

Bila katiba mpya wa aina ya akina Juma bado wapo wapo sana
 
Kuna muda Unafanya watu tukose cha kujujibu zaidi ya kukutukana!.Unataka ushahidi wa CJ kuwa stooge na kibaraka wa JIWE?.
 
Jpm alihakikisha haki haiuzwi wala hainunuliwi mahakamani. Fisafi waliyozoea kudhulumu kwa kua wana uwezo kununua haki ndio saa hizi chini ya mama wamepata ujasiri kunyanyua vinywa vyao kusema walinyang'anywa mali zao.
Kwa upande mwingine wapo wale wanasheria na mahakimu na majaji walikua kwenye biashara ya kuuza haki. Ndio sasa chini ya mama nao wamepata ujasiri hadi kumuita jpm mwizi kwa kuwafilisi kile walichoiba kwa umma na kukirudisha kwa umma wa wananchi.
 
Unasungumzia mahakama zipi? Tanzania ata iwe awamu hipi huwezi kuwa na kesi na serikali tena kesi serious ukaishinda serikali! Hapo chini ni wamasai waloliondo waliondokewa majuzi tu hapa kwa nguvu kisa mwarabu na wametoka hapo kinyume na sheria kabisa na wakafungua kesi wameshindwa.

Bado kuna kesi ya Mbatia huko Court, Samia hamtaki Mbatia awe m/k wa NCCR japo njia iliyotumika kumuondoa ni haram ila kesi ilo mahakaman inapigwa danadana tu! Kwaiyo ukiingia kwenye mgogoro na serikali uo mgogoro Rais aujue vizur hushindi katika taifa ili.
 
Uongo
 
 

So deep sea wote ni mapoyoyo?

Ni ww ndio unajua Hilo jambo na unaakili zaidi ya kujua mambo kuliko team ya deep sea wote?

Mambo mengine uwe unawaza mara mbilimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…