Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa.
Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba.
Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao unafanywa na baadhi ya viongozi wa GSM pasipo woga au kutetereka. Elimu yangu na kazi vinanisaidia niishi maisha ya kujiamini pasipo woga au kujipendekeza.
Ukweli ni kuwa wakati wa Usajili Yanga Hersi na Watu wake ni kipindi cha kutengeneza pesa sana na baadhi ya waandishi na wachambuzi hiki ni kipindi ambacho hupewa pesa sana kuandika habari za uzushi/ uongo kwa faida ya Yanga.
Tumeshuhudia misimu miwili sasa Yanga ikikaribia kuvunja team kila msimu unapoanza. Na maneno mengi ya kupamba toka kwa waandishi, wachambuzi kuisifia lakini uwanjani ligi inapoanza hamna kitu
Team bora huboresha kikosi chake kitaalamu na si kila mwaka kuanza na kipya. Mbaya zaidi ni uongo uongo unaofanyika kupitia vyombo vya habari. Tunajua kwa kununua wachezaji kuna asilimia kadhaa watu fulani hupata kama Udalali.
Miaka ya nyuma Simba akina Kaborou na Aveva walikuwa wanafanya hivi. Sasa imebaki Yanga kuendelea na ghilba kwa wanachama na wapenzi wa Yanga.
GSM nawashauri muendeshe team kisasa kwa ukweli na uwazi.