Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

I think wana malengo ya kisiasa na kibiashara tu hao maana tunasikia Mukoko nae anaondoka. Lakini waangalie wasije jutia baadae maana mashabiki wa Yanga siyo wa mchezo mchezo
 
Mimi naona ni sawa tu wakipiga pesa kwasababu sisi mashabiki hatuna cha kupoteza. Je kuna pesa yeyote sisi mashabiki tunatoa kuhudumia kuendasha klabu? HAPANA.

Sasa kwanini tuumie kwa pesa ambazo sio zetu mashabiki.?
 
Afu watani zangu mmenishangaza sana. Mnamwachaje golikipa mahari kama Shikalo?
Mimi nimesikitishwa tu kuachwa kwa Metacha Mnata!! I wish kwa umri wake na kipaji chake, angesamehewa ili aendelee kuitumikia timu msimu ujao!

Mbona Saido Ntibazonkiza alionesha kitendo cha utovu wa nidhamu kwenye moja ya mechi aliyocheza, lakini alisamehewa!! Sad! 🙁
 
Tatizo ni kumsajili mda mfupi mno.miaka miwili. Wanatakiwa kumsajili kwa zaidi ya miaka nne na kuendelea. Kisinda ni miaka miwili. Bado mmoja. Mwakani angeondoka bila senti hata moja. Sasa hivi yanga watapata vijisente vya kutosha
 
Back
Top Bottom