I think wana malengo ya kisiasa na kibiashara tu hao maana tunasikia Mukoko nae anaondoka. Lakini waangalie wasije jutia baadae maana mashabiki wa Yanga siyo wa mchezo mchezo
Mimi naona ni sawa tu wakipiga pesa kwasababu sisi mashabiki hatuna cha kupoteza. Je kuna pesa yeyote sisi mashabiki tunatoa kuhudumia kuendasha klabu? HAPANA.
Sasa kwanini tuumie kwa pesa ambazo sio zetu mashabiki.?
Tatizo ni kumsajili mda mfupi mno.miaka miwili. Wanatakiwa kumsajili kwa zaidi ya miaka nne na kuendelea. Kisinda ni miaka miwili. Bado mmoja. Mwakani angeondoka bila senti hata moja. Sasa hivi yanga watapata vijisente vya kutosha