Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

Mara hii mshabadili gia. Maana mwanzoni mlikua na wimbo wa wanaoingia masjid ni watu wa haki hawauwi ovyo wala kuteka leo mshaanza kutaja majina na kujitenganisha kiutawala aiseee
Stupidity at it's height,hujui hata unataka kusema nini.
Ignoramus baboon
 
Kile KIBWAGIZO CHENU UCHWARA cha MAMA ANAUPIGA MWINGI kimeishia wapi?

Ati MAMA ANAUPIGA MWINGI mpaka unatoboka, tulieni hapo hapo dawa iwaingie.

"Mama yuko kazini", acheni awapasue ugoko.
 
Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
Sikumbuki, ila kulikuwa na namna yake. Usimsahau kijana James Mbatiya, wakati huo Year 2 BSc Engineering BAVICHA, alimtukana Mwinyi matusi ya nguoni kamuunganisha na familia yake (Mzee wetu Mwinyi alikuwa na Wake wawili), walimchora vibaya ukutani chooni na Nkrumah Hall. Wala hawakujificha, walipojingeza walifukuzwa wote. Tangu pale Mbatiya ana laana ya Marehemu kila aendako hatulii. Miaka yake ya mwishomwisho, Rais Kikwete alimteua Mbunge (si kawaida, lakini hiyo ndiyo CCM, huyo ndiyo Kikwete): huko nako akavulunda wenziye wakamfukuzilia mbali siku karudi home CHADEMA ila hana hili wala lile. Ni laana ya wazee badala ya kutekwa lakini kweli ni kuwa asiyefunzwa na Babaye hufunzwa na ulimwengu.
 
Iko hivi:

Hakuna serikali ambayo haiui wala kupoteza watu hapa duniani. Lakini mara nyingi watu hawa huwa ni wale hatari kabisa wanaotishia usalama na uhai wa taifa. Na mara nyingi mambo hayo hufanywa kwa siri kubwa na kweli ni kwa maslahi ya taifa. Sasa hii ya kuua watoto wanaokandia serikali mtandaoni haya mh! Mtu anatolewa kwenye basi mchana kweupe halafu anakwenda kuuliwa. Mambo huwa hayaendi hivyo na nitashangaa sana kama hawa watu wanaoteka na kuua ni watu wa serikali. Naamini ni zile drama za enzi za Magufuli ili tu kuichafua serikali; ambayo nayo inaonekana ni kama vile haijali au imeelemewa maana ni kama vile haijali.
 
Mara hii mshabadili gia. Maana mwanzoni mlikua na wimbo wa wanaoingia masjid ni watu wa haki hawauwi ovyo wala kuteka leo mshaanza kutaja majina na kujitenganisha kiutawala aiseee
Ni watu wa amani sana ila hapa Kuna Genge la wagalatia wanataka kumchafua mama tena walivyo wasengerema wakakatiza maisha ya Mzee wa Kiislamu
 
Kipindi kile watu wenye vipara walipotea sana kwa imani za kishirikina
 
Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
Kuna mauaji ya wakata miwa wa Kilombero. Kama ulikuwapo na huyajui basi kagua afya ya akili yako kwa daktari
 
Sikumbuki, ila kulikuwa na namna yake. Usimsahau kijana James Mbatiya, wakati huo Year 2 BSc Engineering BAVICHA, alimtukana Mwinyi matusi ya nguoni kamuunganisha na familia yake (Mzee wetu Mwinyi alikuwa na Wake wawili), walimchora vibaya ukutani chooni na Nkrumah Hall. Wala hawakujificha, walipojingeza walifukuzwa wote. Tangu pale Mbatiya ana laana ya Marehemu kila aendako hatulii. Miaka yake ya mwishomwisho, Rais Kikwete alimteua Mbunge (si kawaida, lakini hiyo ndiyo CCM, huyo ndiyo Kikwete): huko nako akavulunda wenziye wakamfukuzilia mbali siku karudi home CHADEMA ila hana hili wala lile. Ni laana ya wazee badala ya kutekwa lakini kweli ni kuwa asiyefunzwa na Babaye hufunzwa na ulimwengu.
Ni James Mbatia na siyo Mbatiya.Halafu,alikuwa NCCR-Mageuzi na si CHADEMA.
 
Back
Top Bottom