Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

CHUKUA MAELEZO YA KWENYE HII VIDEO ITAKUSAIDIA SANA
 
Mimi naamini yule Mzee wa watu hakuwahi kuwa na tone la damu mikononi mwake, hata kwa kuongea tu hakuwa kumfokea mtu au kujimwambafai, kweli alikuwa na hofu ya Mungu
Sijui una umri gani lakini wengine wetu tuliokuwepo hadi leo bado tunateseka kwa yaliyotukuta wakati wake. Ngoja tu niachie hapo.
 
Kuna mkemia mkuu wakati wa Mwinyi alikufa akiwa na report ya uchunguzi wa chakula kilichoingizwa na baba ake Mo.
Duuh! Kumbe Mo naye ukoo wake una masahibu na madhira? Ama kweli hakuna utajiri wa halali
 
Kipindi Cha mwinyi haukuweo utekaji.utekaji umeanza awamu ya sita
 
Wewe umechanganyikiwa, nimemjibu huyo kuhusu Babu wa Loliondo .
Nani kachanganyikiwa? Uliyemjibu aliandika hivi...
Zimmermann said:
Kuna mwandishi wa habari anaitwa Stan Katabalo....nadhani aliibua ile kashfa ya Loliondo...sina uhakika sana ni wakati wa mwinyi au mwanzoni mwa mkapa.
Na wewe ukajibu hivi...
Ibn Unuq said:
Loliondo, ni kikwete mzee
Swali, je unaijua historia ya mwandishi Stan Katabalo kwa iliyojulikana kama Kashfa ya Loliondo Gate?
 
Nani kachanganyikiwa? Uliyemjibu aliandika hivi...

Na wewe ukajibu hivi...

Swali, je unaijua historia ya mwandishi Stan Katabalo kwa iliyojulikana kama Kashfa ya Loliondo Gate?
Sasa tatizo liko wapi , huyo alie reply hakuongeza hyo Gate mwishoni .. kashfa za Loliondo ziko nyingi .
 
Kwangu mimi kutoa kwao matamko kuna nguvu sana, kumbuka mara ya kwanza mama alisema kutekana ni drama, sasa hivi ndiyo anazinduka kutoka usingizini, kwa nini tusiseme anahusika
Labda akitekwa prince Abdully ndio itaacha kuwa Drama.
 
Sasa tatizo liko wapi , huyo alie reply hakuongeza hyo Gate mwishoni .. kashfa za Loliondo ziko nyingi .
Sasa Stan Katabalo na Kikwete wapi na wapi. Chutama ndugu yangu ulibugi step!
 
Back
Top Bottom