Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

Mimi naamini yule Mzee wa watu hakuwahi kuwa na tone la damu mikononi mwake, hata kwa kuongea tu hakuwa kumfokea mtu au kujimwambafai, kweli alikuwa na hofu ya Mungu
Ulikuepo wakati wake?? Au ulikua unajitambua kama hivi leo??!
Ukijibu ntakutajia mambo yaliyotekea wakati wake
 
Back
Top Bottom