Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

... wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ndio watumwa wenyewe. Usifungwe na historia, jifunze katika historia ili ufanye jambo jema kwa sasa. Kama hilo swali linakuumiza kichwa, basi kuna mengine ya kawaida tu lakini yatakuwa mbali kabisa na uwezo wako
 
Hio ni Tanzania au USA; kwa East Africa wanachofanya hao alifanya Mwarabu tena long after hao wengine walipoacha, tena hao wengine huenda walifika huko kwa mkono wa mwarabu....
Hahahaaa.
JamiiForums931250286.jpg
 
Hata waarabu Sio wa kuwalaumu.
Wakulaumiwa ni waafrika wenyewe sababu ya ubinafsi haukuanza Leo.
Mwarabu hakuuingia front kukamata watu Bali mwafrika ndie aliuza ndugu zake,mateka wa vita nk
Pia ilikuwaje lundo la watu wanaswagwa na watu watano toka congo hadi bagamoyo huku wakipita kwenye vijiji vyenye watu bila kushambuliwa nao
Mwafrika ana laana tangu mwanzo.

Ngozi nyeusi ina laana ya milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Ili jamii/nchi iendelee inapaswa kuendelea kwenye nyanja tatu ambazo ni Uchumi, Siasa na Utamaduni...

Hivi vitu vitatu haviwezi kutenganishwa, dini ni sehemu ya Utamaduni na zinaweza zikawa za asili au za mapokeo...
Ukweli ambao mataifa ya Africa yameshindwa kuujua.
 
Hao vijana wanafungwa minyororo na kupigwa na kusafirishwa kwenye meli kama mizigo ?

Tofautisha Economic Migration na Slave Trade
Siku hizi hawafungwi minyororo kwenye miguu ilikua xamani,siku hizi wanafungwa minyororo kwenye akili
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Nao walikua ni watumwa
 
Itakuwa uliishia darasa la 7B otherwise ungekuwa umesoma darasani....hiyo ipo darasani kwenye SoMo la history mambo ya slave Trade.usibishe Sababu wametajwa warabu hata wazungu pia wao missionaries walitajwa kama walikuwa ni watangulizi wa colonialism.As christian sipaswi kubisha Sababu imetajwa christian religion....pamoja na kuwa wapo missionaries waliokuwa na Nia mbaya Bado walikuwepo wenye Nia nzuri ya kuwahubiria watu habari njema.unapocoment usiwe bias Sababu ya dini Yako....wote tunajua slave trade ilikuwa inasimamiwa na waarabu period.

Mimi sio mpumbavu nifuatilie historia za kipumbavu, waarabu wameongelewa sana kwenye hayo mavitabu ya kipumbavu yanayotengeneza chuki na kupandikiza chuki, pia kusoma sio kustaarabika, unaweza ukawa na phd lakini bado akili yako ipo kwenye hiyo fikra ya slave trade kwa waarabu.

Sikiliza ewe mfuasi wa PAULO, fuatilia historia ya kweli, uliza kwa wanaojitambua watakupa ukweli, na acha kufuata mkumbo na kufuata yaliyotungwa na wazushi dhidi ya waarabu.
 
Unajiabisha kubisha kitu ambacho kipo kwenye historia na evidence zipo za masoko ambayo biashara hizi zilifanyika yapo humu humu Tanzania....narudia mimi ni mkristo lakini Kuna vitu ambavyo missionaries walioleta ukristo walikuwa wanafanya sikubaliani navyo.Kama umesoma hujastarabika ilo ni tatizo lingine may be umekuwa affected na culture uliyokulia.
 
Mimi sio mpumbavu nifuatilie historia za kipumbavu, waarabu wameongelewa sana kwenye hayo mavitabu ya kipumbavu yanayotengeneza chuki na kupandikiza chuki, pia kusoma sio kustaarabika, unaweza ukawa na phd lakini bado akili yako ipo kwenye hiyo fikra ya slave trade kwa waarabu.

Sikiliza ewe mfuasi wa PAULO, fuatilia historia ya kweli, uliza kwa wanaojitambua watakupa ukweli, na acha kufuata mkumbo na kufuata yaliyotungwa na wazushi dhidi ya waarabu.
Ulisoma shule gani Pumbavu??Katika historia ya Tanganyika wameongelewa Waarabu na biashara ya utumwa,Wareno na biashara ya utumwa,Wajerumani na ukandamizaji wa mtu mweusi,Waingereza,pia wafanyabiashara mbalimbali kutoka nchi za Mashariki ya mbali na Kati kama vile,Wahindi,Persia,Saudi Arabia,Yemen na Pakistan.
Kwa yule mbaya wa Waafrika Historia iliweka wazi na kwa yule rafiki wa Waafrika historia iliweka wazi.Hakuna ukweli au ubaya chini ya jua unaoweza kufichwa kwa sababu ya mitutu ya bunduki na matusi pamoja na kejeli.Kama mtu alitenda ubaya na mtazamo wake ni wa kuwazia ubaya kwa Binadamu wenzie hilo halifichiki.Mbona Tanzania tuna Wakurya wanaoaminika kuwa wakali kuliko binadamu yeyote na bado kuna makabila mengi ya Tanzania na nje ya Tanzania wanaishi huko lakini hakuna hata siku moja historia itasema Wakurya ni watu wapole sana.
Wapo Wahaya ambao kwao inaonekana ndiyo daraja la kwanza Tanzania lakini kuna makabila yameenda shule kuliko hata hao Wahaya na baada kwa Watanzania wengi wanajua Wahaya wote ni wasomi?Lengo lako ni kufifisha ukweli kuhusu tabia za Waarabu ilihali kila jambo liko wazi kuhusiana na hiyo jamii.Bado Waarabu ni watu kama watu wengine ila misimamo yao na sheria zao siyo rafiki kwa watu wengine ambao wanatofautiana itikadi za kidini pamoja na tamaduni zao.
 
Huyu nadhani aliishia darasa la nne.kama angeendelea Hadi standard seven angejua.Mana hata mtoto aliyepo standard five anajua hayo.
 
Ngozi nyeusi ina laana ya milele.

Ndio maana waafrika waliweza kufanywa watumwa.

Waafrika ni wanyonge tangu zamani.

Kama msafara mrefu wa watumwa ulikuwa una ongozwa na watu wachache tu, Na watumwa walikuwa hawa wafanyi kitu, Si unyonge huo?
 
Yaani wewe hii dunia jua tupo km kw msitu tu na aliyekuwa dhaifu atabakwa, kuuliwa, kufanywa ukatili wote na Hakuna cha Mungu wala Dini yoyote ya kutuokoa na Km uyo Mungu yupo basi hayupo upande wetu bora tumuabudu Shetani tu
 
Kabisa mkuu.

Waafrika hao hao ndio wanajifanya kumjua Mungu sana kuliko hao wazungu,

Halafu wao wao ndio Maskini.

Sasa jiulize huyo Mungu yupo kweli?

Waki ambiwa Mungu hayupo ndio wa kwanza kubisha.
 
Kabisa mkuu.

Waafrika hao hao ndio wanajifanya kumjua Mungu sana kuliko hao wazungu,

Halafu wao wao ndio Maskini.

Sasa jiulize huyo Mungu yupo kweli?

Waki ambiwa Mungu hayupo ndio wa kwanza kubisha
Mungu si kwa ajili ya Wazungu bali binadamu wote na viumbe vyote pamoja na Waafrika.Kama Wazungu hawamwamini Mungu na kuamini katika sayansi zao acha Waafrika maskini wamwabudu Mungu wa kweli.
Mathayo 5:1-11
Mathayo 11:23-27
 
Kabisa mkuu.

Waafrika hao hao ndio wanajifanya kumjua Mungu sana kuliko hao wazungu,

Halafu wao wao ndio Maskini.

Sasa jiulize huyo Mungu yupo kweli?

Waki ambiwa Mungu hayupo ndio wa kwanza kubisha.
Hata Km yupo sio rafiki yetu kabisa Yaani hata iyo mbingu yake siitaki. Hao wayahudi tu that we are told ndo his favorite people ona majanga yaliyowakuta since enzi za Warumi mpk Nazi Germany Sasa cc wengine ambao sio besti yake....Yaani God is the evil one not Satan
 
Back
Top Bottom