Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

Mkuu Taifa lolote haliwezi kuendelea endapo watu wake hawajaelimika.
Watu wanafurahia Ndugai kukaangwa pasipo kujiuliza.
je ,alikuwa sahihi? Au hakuwa sahihi?
[emoji40][emoji40][emoji40]
 
Katika watu waliochangia pakubwa kuifikisha hii nchi hapa ndungai amechangia Sana,aende
 
Hili la umeme ndo kifo chake wapinzani walitumie vizuri vijijini kuibomoa ccm.
Ni suala la fikra tu ilitakiwa watz waunganishiwe umeme bure watalipa gharama zote kupitia kutumia umeme hili linafanyika nchi zingine.
 
Labda hukujua tu hiyo bei iliyotangazwa na awamu ya 5 ya 27,000 kwa mijini na vijijini haijawahi kutekelezeka hasa kwa upande wa mijini. Kama vijijini tu wananchi walikuwa wanazungushwa kuunganishiwa umeme kwa bei elekezi hadi mtu ajiongeze unadhani mijini itakuwaje?

Zile ni siasa tu za kudanganyia wananchi hasa kwa upande wa mijini maana watu wengi wameunganishiwa umeme kwa zaidi ya laki mbili tofauti na bei elekezi ya 27,000. Ushahidi kwenye hili tafuta humu jamvini zipo nyuzi kibao zinazolalamikia tanesco kutounganisha umeme kwa bei elekezi.
 
Iyo mambo ya 27000 ilikuwa propaganda mzee watu walikuwa wanapasuka hela km kawa kwenye kuunganisha umeme,HATUNA IMANI NA NDUGAI
 
Acha kueneza chuki bei ya TSH 27000 bado ipo kwa watu wa vijijini na kwa wenye kipato cha chini. Nenda website ya Tanesco uone pdf ya gharama mpya za kuvuta umeme
 
Hii 27,000/= ilishakwama siku nyingi. Those were cheap politics, Tanesco wananunua nguzo, cable, meters nk kwa bei ya soko, halafu wana deploy labor kuja kukuunganishia umeme na mwisho wa siku wanachaji 27,000/= aina hii ya hesabu iliua uchumi wa nchi za ulaya mashariki
 
Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
Nadhani wewe ndio muongo ,ukiacha jiji la Dar ES Salaam kote kulitolewa upendeleo maalumu wa kulipia kiwango cha REA ama unataka tuanze kusema maeneo ambayo mijini na vijijini yameunganishwa kwa kiwango cha REA yaani kulipa kwa TZS 27,000? labda hujawahi kuomba umeme hivi karibuni.
 
Kuna saa nammiss MAGUFULI walaaah maisha yamekua ghali sana kama tupo los angels au ctel aviv kumbe tupo kwa shabani na kwa mpalange bhana khaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…