Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Tunajua idadi ya watu waliofungiwa umeme wakati huo?27,000 ilikua kwenye makaratasi, lipa iyo ufungiwi umeme ng'o
utapiga benchi mpaka bwana mkubwa arudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua idadi ya watu waliofungiwa umeme wakati huo?27,000 ilikua kwenye makaratasi, lipa iyo ufungiwi umeme ng'o
utapiga benchi mpaka bwana mkubwa arudi
Mkuu Taifa lolote haliwezi kuendelea endapo watu wake hawajaelimika.Hivi huwa najiuliza Shirika ambalo halina mshindani/ lime monopoly biashara ya umeme Nchi nzima linashindwaje kupata faida na kuwa na gharama kubwa kama hizo kumuwekea mtu umeme!!!,Aisee Nchi hii bado sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ndio, tena ingepaswa iwe bure kabisaNguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Waruhusu wawekezaji binafsi tuone kama gharama hazitashuka.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Hata mi siaminiNguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Laaana zinaendelea kumtafunaKatika watu waliochangia pakubwa kuifikisha hii nchi hapa ndungai amechangia Sana,aende
In short huna akililabda kwa Chattle, kwa Dar sahau
Katika vitu vinavyotengenezwa,Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Labda hukujua tu hiyo bei iliyotangazwa na awamu ya 5 ya 27,000 kwa mijini na vijijini haijawahi kutekelezeka hasa kwa upande wa mijini. Kama vijijini tu wananchi walikuwa wanazungushwa kuunganishiwa umeme kwa bei elekezi hadi mtu ajiongeze unadhani mijini itakuwaje?Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Iyo mambo ya 27000 ilikuwa propaganda mzee watu walikuwa wanapasuka hela km kawa kwenye kuunganisha umeme,HATUNA IMANI NA NDUGAIMuda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Hii 27,000/= ilishakwama siku nyingi. Those were cheap politics, Tanesco wananunua nguzo, cable, meters nk kwa bei ya soko, halafu wana deploy labor kuja kukuunganishia umeme na mwisho wa siku wanachaji 27,000/= aina hii ya hesabu iliua uchumi wa nchi za ulaya masharikiMuda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Uelewa wako mdogo.Nguzo na mitre uletewe kwa elf 27000 kweli?
Nadhani wewe ndio muongo ,ukiacha jiji la Dar ES Salaam kote kulitolewa upendeleo maalumu wa kulipia kiwango cha REA ama unataka tuanze kusema maeneo ambayo mijini na vijijini yameunganishwa kwa kiwango cha REA yaani kulipa kwa TZS 27,000? labda hujawahi kuomba umeme hivi karibuni.Acha uongo wapi mjini watu waliunganishwa kwa 27,000
Wako mkubwa ukiambiwa ulete nguzo kwa hio bei unaweza?Uelewa wako mdogo.
Kwaiyo ukitaka kuanzisha mradi unategemea mteja wako akusaidie gharama za uendeshaji ndipo hapo uweze kuanzisha mradi?Wako mkubwa ukiambiwa ulete nguzo kwa hio bei unaweza?