Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
- Thread starter
-
- #21
LEMMA is so smartNi jambo jema.
Amandla...
Wewe mzee wa kibaraka vp huyu yeye umepe jina gani?hivi Lema tangu aache kazi ya malori, halafu akaanza kuhubiri na baadae kutumbukia na kua addicted na kubeti, anaweza kufanya kazi nyingine kweli?
maana amepigika haswa sasahivi
Changamoto ilianzia hapaWajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
John Heche katibu mkuu..Makamu Mwenyekiti wangempendekeza John Heche, au Haonga.
huyu si mnyang'anyi wa malori alie okoka gentlemanWewe mzee wa kibaraka vp huyu yeye umepe jina gani?
Hizi ID fake, yawezekana wewe ni mkewe tusikubishieTetesi!!![emoji1787]
Lema sio mjinga kama TAL
ππ Sawa kumbe ameokoka, ni mtu mzuri kwa masilai ya Tanzaniahuyu si mnyang'anyi wa malori alie okoka gentleman
ila yuko addicted na kubeti sijui itakuaje?ππ Sawa kumbe ameokoka, ni mtu mzuri kwa masilai ya Tanzania
Aya mchambuzi wa siasaila yuko addicted na kubeti sijui itakuaje?
happy new year2025 in advance gentlemanAya mchambuzi wa siasa
Thanks gentleman & u too happy new 2025happy new year2025 in advance gentleman
hakuna ndiyo maana hakuna alie chukua fomu.Hivi hakuna wanawake chadema wa kugombea uenyekiti na makamu mwenyekiti?
John Heche katibu mkuu