Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Donald Trump ✔️✔️Rais Donalud Trump
Typing error boss ipo tu labda tutumie AI lakini kama ni binadamu lazima makosa ya kiuandishi yawepoDonald Trump ✔️✔️
DAUDI TRUMPDonald Trump ✔️✔️
😳 mbona hamkutuambia mapema anautwa DaudiDAUDI TRUMP
Tshekedi kwa kumuomba Trump aje kumsaidia dhidi ya wacongo wenzie ni kufanya makosa yale yale aliyofanya Mobutu kuwa kibaraka wa wazungu!’ Hatima yake Tshekedi muda si mrefu atapinduliwa na M23 wakiungana na makundi mengine watatawala DRC!Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Marekani akiamua hashindwi angalia yaliotokea Libya, IRAQ, SYRIA NA yanayoendelea SudaniUnafikiri itakuwa rahisi kiivo? Yaan kwamba tamko la Trump ni sheria kwa kila mtu hapa duniani
ni jambo lisilowezekana, kagame ana connection kubwa na matajiri wa kiyahudi/israel ambao wameshika marekani masikio. ndicho kiburi chake kilipo. hata trump na ujanja wake wote ule, hana sauti kwa myahudi. hadi anatia huruma.Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Huyu n gaidiii. Uholanz inamhusuWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Kupata kichekesho kama hiki andika congobye KWENDA no 15777Tshekedi kwa kumuomba Trump aje kumsaidia dhidi ya wacongo wenzie ni kufanya makosa yale yale aliyofanya Mobutu kuwa kibaraka wa wazungu!’ Hatima yake Tshekedi muda si mrefu atapinduliwa na M23 wakiungana na makundi mengine watatawala DRC!
Ni sahihi na sasa hivi Marekani anatia sahihi na Ukraein jinsi ya kupata madini kulipia gharama ya vita then atahitaji mkataba na DRC soonHii hata mimi nimeifikiria.
Bwana mkubwa anachotaka yeye ni rasilimali ndio maana wanamtumia Kagame kulinda maslahi yao, sasa kinachoenda kutokea ni Kagame kutoswa na mabwana zake sababu walichokuwa wanakipata kwa gharama kupitia kwa Kagame, sasa watakua wamepewa full na wakongo wenyewe.
Na vile Kagame ameweka mambo yake hovyohovyo kuyaporomoa itakua ni kugusa tu
DRc hana akili ilitakiwa ajiunge na super power muda mrefu sana akubali kugawana resources on percentage apate security guaranteeWadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
machafuko ya congo mfaransa hana mkono mkubwa, ila marekani yenyewe, ubelgiji, china, israel ambao wote wanamtumia kagame.Marekani hana uwezo wa kumtoa KAGAME madarakani bila ruhusa ya Ufaransa ambaye ndiye mnufaika wa machafuko pale DRC.
Kwa Marekani anaemtumia Kagame hapatani tena na Rais Trump hivyo Trump anajua na anatafuta njia ya kumuadhibu kwa kipengele cha kuheshimu uhuru wa nchi na uhuru wa kufanya biashara za kimataifa kwa uwazi then Israel atamuunga mkono Trump wote watafuata ndio inayokuja muda si mrefumachafuko ya congo mfaransa hana mkono mkubwa, ila marekani yenyewe, ubelgiji, china, israel ambao wote wanamtumia kagame.