Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
587
Reaction score
800
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike

Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
 
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Tshekedi kwa kumuomba Trump aje kumsaidia dhidi ya wacongo wenzie ni kufanya makosa yale yale aliyofanya Mobutu kuwa kibaraka wa wazungu!’ Hatima yake Tshekedi muda si mrefu atapinduliwa na M23 wakiungana na makundi mengine watatawala DRC!
 
Hii hata mimi nimeifikiria.

Bwana mkubwa anachotaka yeye ni rasilimali ndio maana wanamtumia Kagame kulinda maslahi yao, sasa kinachoenda kutokea ni Kagame kutoswa na mabwana zake sababu walichokuwa wanakipata kwa gharama kupitia kwa Kagame, sasa watakua wamepewa full na wakongo wenyewe.
Na vile Kagame ameweka mambo yake hovyohovyo kuyaporomoa itakua ni kugusa tu
 
ni jambo lisilowezekana, kagame ana connection kubwa na matajiri wa kiyahudi/israel ambao wameshika marekani masikio. ndicho kiburi chake kilipo. hata trump na ujanja wake wote ule, hana sauti kwa myahudi. hadi anatia huruma.
 
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
Huyu n gaidiii. Uholanz inamhusu
 
Tshekedi kwa kumuomba Trump aje kumsaidia dhidi ya wacongo wenzie ni kufanya makosa yale yale aliyofanya Mobutu kuwa kibaraka wa wazungu!’ Hatima yake Tshekedi muda si mrefu atapinduliwa na M23 wakiungana na makundi mengine watatawala DRC!
Kupata kichekesho kama hiki andika congobye KWENDA no 15777
 
Hii hata mimi nimeifikiria.

Bwana mkubwa anachotaka yeye ni rasilimali ndio maana wanamtumia Kagame kulinda maslahi yao, sasa kinachoenda kutokea ni Kagame kutoswa na mabwana zake sababu walichokuwa wanakipata kwa gharama kupitia kwa Kagame, sasa watakua wamepewa full na wakongo wenyewe.
Na vile Kagame ameweka mambo yake hovyohovyo kuyaporomoa itakua ni kugusa tu
Ni sahihi na sasa hivi Marekani anatia sahihi na Ukraein jinsi ya kupata madini kulipia gharama ya vita then atahitaji mkataba na DRC soon
 
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike, hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi na pia kuomba Trump wafanye bIashara ya madini ghali na adimu na DRC.
DRc hana akili ilitakiwa ajiunge na super power muda mrefu sana akubali kugawana resources on percentage apate security guarantee
Kagame anachofanya anaiba madini congo kwa kusapotiwa na vinchi kama belgium, china na marekani yenyewe na anawauzia kwa bei ya chini
Bora congo aende akubali kugawana na marekani awe na amani, sehemu yoyote marekani akiweka mguu wote wanakaa pembeni
 
machafuko ya congo mfaransa hana mkono mkubwa, ila marekani yenyewe, ubelgiji, china, israel ambao wote wanamtumia kagame.
Kwa Marekani anaemtumia Kagame hapatani tena na Rais Trump hivyo Trump anajua na anatafuta njia ya kumuadhibu kwa kipengele cha kuheshimu uhuru wa nchi na uhuru wa kufanya biashara za kimataifa kwa uwazi then Israel atamuunga mkono Trump wote watafuata ndio inayokuja muda si mrefu
 
Back
Top Bottom