Tetesi: Wakati wowote mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) atazungumza na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
Nliwambia watu UKUTA akili zenu mkichanganya zote hazifiki kwa akili ya magufuli
Kwa hiyo unamaana magu ana akili sanae! Kwa taarifa yako hujui kitu na yawezekana kinyume chake ndo UKWELI!
 

Kwani Chadema nao hawafanyi Hujuma dhidi ya CCM?
Haya ni Mapambano Hakuna cha kuoneana huruma
 
Hivi hakuna "mafundi" wa kuwafanya watu wa jinsi hii wakawekewa ubongo wa kuku? Najaribu kuwaza kwa sauti ya chiiiniii!
 
Haya majitu ni hopeless kabisa kwani huwezi kumuunga rais ukiwa ndani ya chama cha CUF . Ama wanaajenda ya siri ambayo haipo wazi kwetu wanannchi.
Hili ndo swali ambalo halijapata majibu. In fact sitarajii majibu ya kuwaridhisha wananchi waliowapigia kura!
 
Waondoke tu wote, wanasubiri nini?
 
Kwani Chadema nao hawafanyi Hujuma dhidi ya CCM?
Haya ni Mapambano Hakuna cha kuoneana huruma
Wenzao wanapiga kotekote, kutumia nguvu za dola na nguvu za fedha. Sidhani kama Chadema wana nguvu hizo.

Vv
 
Waliacha posho za bunge maalum la katiba nani alijali?! Watawala wana michezo mibaya kwa kama una roho ya hovyo unauza hata utu wako [emoji85] [emoji40]
 
Acha kujifariji wewe
Huwezi kuingia kwa ari kubwa uchaguzi wa 2020 mkiwa na wabunge 10
Ni heri muingie kwenye Uchaguzi wa 2020 mkiwa na Wabunge 10 ambao ni makamanda wa ukweli kuliko lundo la Wabunge lenye wachumia tumbo na wasaliti humohumo ndani
 
Kamuulize kama alikuwa anaaminika na kupewa mamlaka kamili. Intelejensia ya Chadema iko umbali mrefu sana ukilinganisha na CCM na mawakala wake!
Kwa hiyo alikuwa sahihi.mlimfanya karai. Amechoka.
 
Timu Maalim iungane na MACHADEMA ili kupambana na CCM. ..
 
Nachofurahi ni kua wasaliti wanazidi kujipambanua na kujiweka wazi,
Hapo mwanzo ingetuwia vigumu kuwagundua lakini sasa wameamua kujipambanua wenyewe ili tuwajue,
Ahsante Mungu kwa kuwapa akili hiyo ya kujiweka wazi.
Hahaha huku roho inauma unawaza ingekua vice versa
 
Do you also take into account the unfair political landscape?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…