Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

H
Hao wamekuja miaka 600 baadae hakuna kitu wanajua na story za kuunga unga tu.
 
Yani bila eucharist hakuna kanisa. Katoliki ndio kanisa la Mungu.
 
Haswaa Mimi ni miongoni mwa watu ambao Yesu aliingilia Kati kuning'oa kutoka kwenye huo utumwa. Nafurahia Uhuru ndani ya Kristo lakini kwa upande mwingine nikitafakari namna watu walivyoshikwa 'masikio' furaha inaingia shubiri😭
Ni kuwaombea tu Neema ya Mungu waifahamu kweli.
Hongera sn ndugu
 
Ufunuo nje ya neno la Mungu ni shetani.
Mungu hawezi kukuoa ufunuo unaopingana na kauli zake
 
U
Upagani.
Ukristo hauna unganisho kati ya wafu na walio hai
 
Safi kwa swali zuri muda nitafafanua vyema ila nenda google kapate kidogo concept ya MARIOLOGY..
 
Waroman hawana majibu ya kimaandiko.
Maana maisha mazima ya uroman ni upagani.
Na waumini wanaburuzwa wakiangamuzwa kwakukosa maarifa.
MARIAMU si bikira tenaa baada ya kumzaa yesu, tena alizaa na mtoto mwingine kama yohana.
Mariamu ilimbidi akafunge nakuomba moaka siku ya pentekost ili apokee roho mtakatifu. Laa hata kuwepo mbinguni.
Mariamu hakutoa chembe yoyote ile kwenye utungaji wa mimba ya yesu

YESU kamwe hakuwahi kumuita mariamu mama maisha yake yote,alimuita mwanamke kwisha.
Biblia inasema hakuna wakukuombea utapeleka maombi yako mwenyewe mbele za Munguu.
Na ndio sababu ya pazia la hekalu kupasuka alipokata roho

Roman inaibada za kishetani za mapapa waliokufa,wakiisujudu mifupa yao nakuomba wawaombee

Mariamu yupo akisubiri ufufuo wa wafu siku ya mwisho.
Unaomba mtu ambae amelala kwa tumaini tu.
Wao wamemtoa roho mtakatifu wakaweka mariamu nafasi yake

Hivi unaombaje mariamu badala ya kuomba Mungu moja kwa moja.
Yesu alisema ombeni lolote kwa jina langu sio la mariamu
 
Mungu ni mdhihaki wa kwanza wa imani za kishetani,
Soma biblia yako utaona jinsi wapagani walivyofanywa gata kuuwawa kwa amri ya Mungu.
 
Eti Yesu hakuwai kuita Mama, kwa Mama yake ? ulicho andika hapo ni pumba tu
 
Eti Yesu hakuwai kuita Mama, kwa Mama yake ? ulicho andika hapo ni pumba tu
Kasome biblia yako ukiiona ilete hapa.
Ninukuu.
Hutaipata na kabla hujaileta isome kingereza.
Mliitafsiri mkampa mariamu hadhi ambayo hastahili.
 
Kasome biblia yako ukiiona ilete hapa.
Ninukuu.
Hutaipata na kabla hujaileta isome kingereza.
Mliitafsiri mkampa mariamu hadhi ambayo hastahili.
Ulivyokuwa hujui kitu kwanza hujui Biblia ni nini, pili eti nisome kwa kingereza pia kana kwamba ndiyo lugha iliyoandikwa kwenye hivyo vitabu
 
Yesu alipokuwa anatufundisha namna ya kuomba hakutaja neno bikira Maria bali alisema ombeni lolote kwa jina langu na baba yangu wa mbinguni atafanya. Yesu ndiye daraja la kumuendea Mungu baba na wala sio bikira maria bali bikira Maria alipata neema ya kubeba mimba tu alitumika kama kibebeo. Kazi yake iliishia hapo. Kinachofanyika kwa wakatoliki ni mapokeo ya wanadamu yaani bikira Maria wanamfanya kama mungu mke wa kipindi kile kule Efeso aliyeitwa Aterm
 
Waromani kwa kupenda wepesi,wakaweka dalali wa kuwaombea.
Pazia lilipasuka ili ujiombee uingie mwenyew kwenye uwepo wa Mungu uzungumze nae
Mariamu alifunga na kuomba mpaka pentekoste.

Yesu hakuwahi kumuita mama
Alimuita mwanamke.
Hatusemi haya kuwaaibisha
Ila mnatakiwa mjue,huo ni upagani,mungu hana utaratibu huo,alishasema namna yakuomba,
Mariamu mmemuweka sehem ya roho mtakatifu.
Ni aibu na upagani.
Fatilia io imani vizur utagundua kuna upagani mwingi mnoo ndani yake,yanayoendelea vatican ni ushetani,,,
Lakini mtu yupp radhi alifie na sio ukristo/neno la Mungu

Mathayo 15:8-9
[8]Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.

[9]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.

Lini mtashtuka?
Uroman ndio upinga kristo wenyewe.
Yesu alisema mpinga kristo atafanana sana na ukristo,mpole huwezi mdhania mathayo 24 ila ameua wakristo wengi mnoo(roman) waliolipinga kanisa(wafia imani))
 
Lete ilo andiko ambapo yesu amemuita mariamu mama.
Punguza maneno
Ulivyokuwa hujui kitu kwanza hujui Biblia ni nini, pili eti nisome kwa kingereza pia kana kwamba ndiyo lugha iliyoandikwa kwenye hivyo vitabu
o a
 
Yesu aliwaajibu mama na ndugu zangu ni wanaolishika neno langu.
Msalabani alimuita ewe mwanamke,
Kwenye maji kuwa divai alimuita ewe mwanamke.
Si zaidi ya hapo
Mariamu hakuwa mama wa yesu,alikuwa kizalishio,kikuzio cha mimba,hakuna chembe yoyote ya uhai ilitoka kwake.
Mariamu hayupo mbinguni muda huu,yupo walipo wakina ibrahim na wengine wakisubiri ufufuo.
 
Biblia inasema mungu hana baba wala hana mama. Hana mwanzo wasiku wala mwisho.
Alafu mnamleta mariamu awe mama wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…